Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena hii mikitu ya urembo ni muhimu kweli itakua vema likawa na jukwaa lake kama jukwaa la misosi. Kuna mambo mengi kweli ya kujifunza na pengine tunatumia gharama kubwa bila mafanikio kumbe inawezekana tukashea maujuzi humu na mabo yakawa safii Fixed Point kuja huku unapitwaHeaven on Earth ukuje huku hii sredi iwe sticky humu ili ndo iwe forum yetu ya urembo!
mamods si wametuchunia ombi letu!?
Pole sana mpenzi hongera kwa kufuga dread rocks.1.nywele zangu ni dreads ni nguuuuuumu hiiizo eheheh?,
nafanyaje ziwe soft na zikue fastaa?naweza kufanya steaming?
(kinaturale lakini madawa nehiiiiii)
2.vipi kuhusu ngozi,nina oliy face nafanyaje,situmii mafuta yoyote! jouneGwalu njoo ulipe bills huku!
Kila baada ya miezi mitatu lakini kumbuka kufanya nomal steaming japo kwa mwezi mara mbiliMimi naomba ushauri wa muda wa kuretouch:
Natumia dawa ya MEGA GROWTH je natakiwa kuretouch baada ya muda gani?
nywele zangu ni nene na nzito
halafu ni ngumu kushika dawa,
niweke dawa gani ziwe zinashika haraka?....maana kila dawa ninayoweka naungua ngozi kabla hazijashika vizuri
upande wa uso mekupata dear!Pole sana mpenzi…hongera kwa kufuga dread rocks.
Hizo zinakuwa ngumu kwa kuwa hauzi retouch na hauzifanyii hair treatment.
Ushauri wangu kwako jitahidi hata kwa mwezi mara mbili make sure unazipatia hiyo huduma na utafurahia mrejesho wake.
Na kuhusu oil face ningekushauri utafute salon mzuri na inayotowa huduma mzuri ya facial,waambie wakuonyeshe facial product zao kisha chagua kit ambayo itamaliza matatizo yako,patananao bei kisha wakufanyie.
Yes namaanisha kurepair, kama unarepair kwa mwezi mara mbili basi ni vizuri sana! ila zipe steaming pia kisha zitafutie hair spray mzuri sana na yenye harufu mzuriupande wa uso mekupata dear!
kwenye nyele(ehehhe tamka hivo hivo kazi na dawa mwaya!)
natakiwa kufanya hair treatment gani ?
unaposema kuretouch unamaanisha kurepair sio?
narepair mara mbili kwa mwezi!
Mara nyingi unaoshea salon au nyumbani?Mimi nasokota dreads..my dreadslocks zinakua vizuri ila sijapata shampoo nzuri ya kuzisafisha,,help me please:.
Mara nyingi unaoshea salon au nyumbani?
View attachment 124000
Wapenzi, nawaacheni na nawatakia usiku mwema na mulale salama na mimi sasa natoka ofisini naingia barabarani naelekea home.
Maswali au maoni ambayo sijajibu nahaidi nitayajibu kesho na nazidi kukaribisha maswali zaidi. Alamsik
nifanye steaming ya nini?Yes namaanisha kurepair, kama unarepair kwa mwezi mara mbili basi ni vizuri sana! ila zipe steaming pia kisha zitafutie hair spray mzuri sana na yenye harufu mzuri
Umewahi kuweka hair treatment yoyote before? kama bado unaweza kuanza na Dr miracle hair treatment kwa mwezi mara 2 au 3 lakini itakuwa vizuri kama utaanzia salon yoyote ilimradi iwe na huduma mzuri na siyo bora huduma
Kwani hujui kuwa mimi ni mZairwaaa, ila usiwaambie wale jamaa wa operesheni KimbungaBujibuji mbona unachungulia saloon ya wadada?