Asante sana mamii kwa kujibu maswali yetu kona hii ya urembo..hususan nywele
Sasaa... naomba nijuze, mimi nina asili ya nywele laini (yaani sio kipilipili) na zipo chache kwa kweli. Kuna kipindi, kama 3 yrs iliyopita niliweka dawa, ilikuwa beautiful begining..jamani.... zilikuja katika mpaka nilijuta nikaamua nizikate nianze upya hivyo mpaka sasa bado zipo hazina dawa na ni ndefu. Huwa nafanya steaming mara kwa mara na kweli mabadiliko naona maana hazikatiki sana..naomba nishauri kwa nywele nyepesi relaxer gani inafaa, na steaming ipi ni nzuri zaidi kwa aina hii ya nywele... kwa kipindi hiki natumia steaming ya perfect. Nashukuru sana kwa mchango wako mamito