MillionHairs
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 803
- 406
- Thread starter
- #101
Wapenzi,kwa wale walioniulizia kuhusiana na permanent curl basi nawashauri muweka Kati ya hizi 2.
Wave neaveau au Leisure curl...hakika hizo ni wave mzuri sana na mawimbi yake yanakaa kwa mda
mrefu sana iwapo uwapo nyumbani unapaka curl keeper yake kila siku asubuhi.
Angalizo: usijiongopee kujifanyia huduma hii nyumbani peke yako...hutaweza kwasababu hizi curl zinaprosses nyingi sana na kama unavyoona hapa pichani kuna makopo karibia sita na yote hayo yanatakiwa yaonje ngozi na nywele zako hatua kwa hatua hadi itokeze original and permanent curl...utatumia masaa matatu hadi manne kufanya huduma hii ndani ya salon