Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Mi nywele zangu ndefu ngumu hafu huwa hazishiki dawa vizuri nilianza na movit haikushika nikahamia tcb yani bado hazishiki dawa inakaa mda mchache zinakuwa ngumu nitumie dawa gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nywele zangu ndefu ngumu hafu huwa hazishiki dawa vizuri nilianza na movit haikushika nikahamia tcb yani bado hazishiki dawa inakaa mda mchache zinakuwa ngumu nitumie dawa gani
Daah!! Hivi bado kuna watu wanatumia TCB? Anyway acha nisiingilie biashara za watu.
Ushauri: Jaribu kutumia Profective reluxer (iwe super na siyo regular) am sure italeta majibu mazuri
asante kwa fursa nzuri,mm ni mdau wa maswala ya urembo hasa wa nywele,na naweza sema ninazo ndefu si haba.nami nataka kujua zaidi kuhusu hiyo mirija naipenda sana.ila nipo moshi na sjui wapi wanaweza niweka hiyo,yan ungeweza kuelezea hapa jinsi inavowekwa hatua kwa hatua huenda wenye salon zao wajasiriamali wajifunze ingependeza,au mm pia nikielewa naweza mwelewesha mtu wangu wa salon ili aniweke.ntafurahi sanaaaa ukinijibu
Hapana hutaitaji kusubiri tena...natural hair ikishajitokeza basi unazitream kidogo tu kisha unaanza kuweka permanent curl yako
mie ndio niko naitengeneza hapa... sema inachukua muda mrefu hiyoo..., muda kweli niko saloon hapa ndio anamalizia
huyu kaka wa hii saloon sijapenda hata kidogo alivyoniwekea leo...
Ha ha haaa...umenifurahisha sana!! Huna jinsi ni lazima ulipe hiyo bili leo lol!!
Daah!! Hivi bado kuna watu wanatumia TCB? Anyway acha nisiingilie biashara za watu.
Ushauri: Jaribu kutumia Profective reluxer (iwe super na siyo regular) am sure italeta majibu mazuri
Swali langu la kwanza,hair treatment ya palmers inatumiwaje maana nikienda nayo baadh ya salon wanasema inasetiwa wengine nikae kwenye steamer bt cku nilipokaa kwa steamer ilikuwa kama ugali kichwani.je niendelee nayo?
Pili mm huweka beutful begnn ya box,sasa cku moja nikatafuta duka mbili tatu nikakosa,nikanunua olive oil,nikaweka.kias ikabak.sasa baada ya muda kuja kuangalia ile box imeandikwa ni for course hair ikimaanisha nywele ngumu,na mm nywele zangu ni lain na nyepes je unanishauri niendelee na hyo iliyobaki ikifika kipind cha kuretouch?
Tatu; kuna dawa inaitwa motion ni ya kopo je ni nzuri?nataman kuijaribu maana niliambiwa kwa nywele nyepes na ambazo hazijai itajaza nywele..mm sipendelei hizo mega profectiv kwan kuna mwenzangu japo katumia lakn wala hazijajaa
my dear alivyonifanya najuuuuta.... nimekasirika ila nimemwambia sijapenda alivyonitengeneza.
namkutaga huyo dada ananitengeza vizuri leo sijamkuta.. huyu kaka naona alikua anajifunza katika kichwa changu hiyo mirija namwelekeza fanya hivi ye ananiambia sister tulia niachie mimi kila kitu... hsalafu ananiambia eti kapandisha bei maana walikua wanatumia generator.,sijamwongeza hata sentii
Mkuu nishauri nifanyeje, nywele zangu nimeretouch kama miezi 4 iliyopita, kwa sasa sihitaji tena kuweka dawa, nataka nibakie na nywele zangu bila kunyoa, nifanyeje dawa iishe kabisa kwenye nywele?
Nywele ni ndefu kiasi
nilipitiwa shosti wangu,sasa lini tukabandike. tuachane na king'asti anabandikaga makucha ya kunguru.
Pole sana! Hata hivyo sielewi kwa nini ulibadilisha hiyo dawa yako iliyozoea kwenye nywele yako na ukahamia nyingine.
Nikiri ni kweli kuhama hama au kubadilisha badilisha dawa ya nywele inaweza kukuletea matatizo sometime.
Sasa basi, najua uliachana na olive oil ya zamani na ukahamia kwenye olive miracle ambayo ni mpya.
Sasa ushauri wangu kwako nakusihi urudi kwenye dawa yako uliyoizoea OLIVE OIL kwani bado zinapatikana madukani.
Note: Ili kurudisha na kurutubisha nywele zako zirudi katika Hali ya kawaida kama zamani make sure kila unaporitouch
Unazifanyia nywele zako hair treatment...na usisuke rasta wala kushonea weaving kwa takribani miezi 3.
Hapa chini nakuwekea picha ya treatment ya groganics kit na reluxer za olive oil mpya na ya zamani.