Wadada, niulizeni kitu chochote kuhusiana na huduma za salon, hair & nails

Wadada, niulizeni kitu chochote kuhusiana na huduma za salon, hair & nails

Hebu uliza kama ana shilaki........shogangu nitakupa ofa ya kitu cha shilaki.......mbona watakutangazaaa.......

Yaah Shilaki Gel na Gelac Gel ni mzuri sana…tena zinapendeza sana zikiwa umeziwekea some decoration on top
 
Asante lov

Kweli ckuwa na sbb yoyote ya kubadirisha nilijickia tu...

Mpenz kweli hyo ya zamani kuipata ni kazi sshv nimezunguka hadi huko kko hakuna nao pia wameniambia ni kweli zinaishia zinakuja mpya tu

Niliyonayo nimeinunua zanzibar ndo nilikoipata

Na ktk hyo pic hakuna ya zamani hapo zote mpya hizo ndo zilizoharibu my hair
ngoja nifike hom nikupigie pic ya zamani uione..

Nashukuru pia kwa hizo treatment

Daah! kama hiyo picha hapo juu ni yako basi nakupa hongera sana kwa kipindi hicho…maana marshallah mtoto ulikuwa na nywele mzuri na ndefu pia. Ooh sorry kwa kupoteza unywele kama huo. Sasa umefikiria kutumia dawa gani tena?

Ila mimi nakusisitiza tena jitahidi kufanya liv in treatment kila uendapo salon…am sure hiyo nywele itarudi tu.
 
Hahaaaa haaaa
Asante sn mamii....bado zipo Ukiziona wala huwezi jua km zimekatika.

Nitatumia hizo treatment....matumizi yake waweza niekekeza mamii?

Na dawa ya zamani nayosema nimeipata zanzibar
Na so far nipo zenj huku inapatikana so sio mbaya
 
View attachment 178181View attachment 178182Hayo ni mambo ya beauty clinic na skin care treatments.
😛icha kwa hisani ya Million Hairs Salon:

Duh napenda ila c.kubandika...
Btw zimependeza sn hizo kucha.

Naweza fanya kwa kucha zangu hyo rangi?
duh imependeza kwakweli

Pia nina swali. ..
Kucha zangu zilikuwa ngumu...bt niliwahi paka hina ya dukani ile ya tube since there zikawa laini yaaani zinakatika sio ngumu km mwanzo tena nifanyeje zirudi hali yake?
 
Attachments

  • 1408629598821.jpg
    1408629598821.jpg
    49.4 KB · Views: 324
MillionHairs shukrani kwa kujitolea kutusaidia! Nina swali naomba nifahamishwe kama inawezekana kufanya straws kwa nywele ambazo hazina dawa lakini ni laini kiasili bila kutokea kukatika kwa nywele, nimeona wengi wanaofanya straws wana nywele zenye dawa na zinakaa vizuri kweli.
Nashukuru sana in advance
 
Last edited by a moderator:
Duh napenda ila c.kubandika...
Btw zimependeza sn hizo kucha.

Naweza fanya kwa kucha zangu hyo rangi?
duh imependeza kwakweli

Pia nina swali. ..
Kucha zangu zilikuwa ngumu...bt niliwahi paka hina ya dukani ile ya tube since there zikawa laini yaaani zinakatika sio ngumu km mwanzo tena nifanyeje zirudi hali yake?

Daah pole sana na kucha zako! Lakini kwanini zinakuwa laini na kukatika katika? Au hapo kabla ulikuwa unabandika kucha mfululizo? Hinna ya dukani (tube) ni mzuri,lakini si kwa kila mtu...tumia hinna ya asili kupaka kwenye kucha zako na am sure zitakuwa ngumu kama zamani. Ila kwa sasa kama utakuwa unaenda salon for hair basi jitahidi wakufanyie na manicure japo kwa mwezi mara mbili.

Hongera nimeona kiganja chako na kucha zako...mashalah mtoto unamkono mzuri balaaa...ha ha haaaa!!
 
Duh napenda ila c.kubandika...
Btw zimependeza sn hizo kucha.

Naweza fanya kwa kucha zangu hyo rangi?
duh imependeza kwakweli

Pia nina swali. ..
Kucha zangu zilikuwa ngumu...bt niliwahi paka hina ya dukani ile ya tube since there zikawa laini yaaani zinakatika sio ngumu km mwanzo tena nifanyeje zirudi hali yake?

Kuhusu urembo wa kucha za mikono hapo juu...hiyo siyo rangi bali ni kucha za kubandika na zimebandikwa kwa utaalamu wa hali ya juu sana.
 
MillionHairs shukrani kwa kujitolea kutusaidia! Nina swali naomba nifahamishwe kama inawezekana kufanya straws kwa nywele ambazo hazina dawa lakini ni laini kiasili bila kutokea kukatika kwa nywele, nimeona wengi wanaofanya straws wana nywele zenye dawa na zinakaa vizuri kweli.
Nashukuru sana in advance

Ni kweli straws hair style inapendeza sana iwapo nywele yako ikiwa na dawa na unaweza kukaa na hiyo style hata kwa wiki mbili au siku kumi hivi...kwa natural hair inawezekana pia lakini haipendezi hata kidogo labda hiyo nywele yako iwe ndefu.

Kama nywele yako iko natural na ni fupi...basi nakushauri nenda salon yoyote unayoiamini kwa kazi mzuri waambie wakufanyie rough style na utapendeza sana.
 
Nisaidie nipake mafuta gani kwenye nywele laini za asili na sijatia dawa yoyote,
 
t444z-Twitter-banner2-490x245.jpg

Kwa wale wenye matatizo ya nywele nawaombeni mujaribu kutumia mafuta haya hapo juu.

Kama kuna swali lolote naomba niulizwe tu
 
Mkuu haya mafuta nimesikia yana bei sana sisi walalahoi je tutumie mafuta gani?mimi nywele zangu hazina dawa ila ni nyepesi na kavu yaani nikipaka mafuta kesho yake nakuwa kama sijapaka mafuta wiki nzima halafu huwa zinakatika sana mbele.

Ahsante, haya mafuta ni ya nywele…ila mafuta haya ni maalumu kwa kupaka chini ya ngozi kwa wale watu ambao nywele zimekatika au zimenyonyoka kutokana na areji fulani fulani ili kuotesha nywele zake asili na siyo mafuta ya kupaka juu ya nywele zako za asili au kwenye weaving yako.

Kuhusu bei mbona mimi naona ni reasonable price tu…bei yake inaanzia elfu 50 hadi 60. inategemea utayanunuwa wapi.
 
nywele zangu zina dawa natumia tcb nina tatizo la kuwashwa mba mda wote nimepaka mafuta ya kila aina bt hakuna soln.....na pia cna mba mwingi kichwan bt huwa nawashwa sana, naomba nisaidiwe
 
Ok sikuelewa nilijua ni ya kupaka kwenye nywele,Mimi ninataka mafuta mazuri kwa nywele za asili pamoja na steaming nywele zangu ni kama nilivyokueleza au msaada unatoa kwa nywele zenye dawa tu?
Ahsante, haya mafuta ni ya nywele…ila mafuta haya ni maalumu kwa kupaka chini ya ngozi kwa wale watu ambao nywele zimekatika au zimenyonyoka kutokana na areji fulani fulani ili kuotesha nywele zake asili na siyo mafuta ya kupaka juu ya nywele zako za asili au kwenye weaving yako.

Kuhusu bei mbona mimi naona ni reasonable price tu…bei yake inaanzia elfu 50 hadi 60. inategemea utayanunuwa wapi.
 
Ok sikuelewa nilijua ni ya kupaka kwenye nywele,Mimi ninataka mafuta mazuri kwa nywele za asili pamoja na steaming nywele zangu ni kama nilivyokueleza au msaada unatoa kwa nywele zenye dawa tu?

Hapana natoa kwenye nywele zote? Kwani nywele zako zimekatika sana? na je hapo before umewahi kuweka nywele zako dawa?
GRO-76082-2.jpg

Hebu jaribu kutumia mafuta hayo hapo pichani…ni mazuri sana kwa natural hair.
 
Back
Top Bottom