Wadada, niulizeni kitu chochote kuhusiana na huduma za salon, hair & nails

Wadada, niulizeni kitu chochote kuhusiana na huduma za salon, hair & nails

Nimekuelewa mkuu, je hapo kabla amewahi kutumia mkorogo? (Kujichubua mwili?) nijibu then tuendelee kutokea hapo.

hajawahi kujichubua kabisa wala mikorogo ye mwenyewe hapendi kabsa, hata hv vichunus hakuwah kuwa navyo hata kimoja!
 
Asante, na pia nikitia hinaa kwenye mwili inaniwashaa wakati wa kuanza kukaukaa yani Kama nimetiwa pilipili View attachment 186732

Hii picha ya mkono uliyochorwa hina ni wewe au umeitowa kwenye google? Anyways kwenye upande wa hina za kuchora mwilini to be honesty sina utaaramu nazo...ila zile za kwenye urembo wa kucha nina utaaramu nazo.
 
hajawahi kujichubua kabisa wala mikorogo ye mwenyewe hapendi kabsa, hata hv vichunus hakuwah kuwa navyo hata kimoja!

Ooh pole yake! Anyway mimi siyo daktari ila nitakujibu kulingana na uzoefu wangu kwenye hii beauty industry.
Mkuu,baadhi ya Salon ndani yake kunakitu kinaitwa Beauty Clinic,hichi kitengo kinausika na skin care treatments.
Sasa tafuta Spa au Salon yoyote ambayo wanafanya huduma hizo then mpeleke shemeji yangu...ukifika waambie wamfanyie Kati ya huduma hizi 3

1. Steamer body srub
2. Full facial steamer body scrub au
3. Sea salt steamer body scrub.

Mkuu,hizo ni bonge la skin treatments na atakuwa anaudhuria kufanya hiyo huduma kama vile hospital.
Anaweza kufanya mara 2 ndani ya mwezi mmoja au mara 3 ndani ya miezi miwili...inategemea ameathirika kiasi gani na ilo tatizo.
 
Nashukuru sana mkuu, ubarikiwe sana!
 
Mkuu mm nywele zangu ni laini na refu zilikuwa nzito bt kuna siku nilipata allegy sis wng akajua mba akaniweka dawa ya beutiful begin ss tokea siku hizo n mm nikawa naweka dawa japo kwa mwaka mara moja ila nywele zangu zimekatika sana mpk sina hamu nikawa natumia stimming ya mayonise ila ss nimebadili dawa natumia profective na stimming yke ika bdo Unakatika. Na kuhuc mafuta ni shida kwan nona allegy na mafuta yote hasa mazito nakuwa nawasha muda wote hivo natumia lotion ya profextive cjaona matunda yeyote. Naomba ushauri wko
 
Mkuu, kiswahili ulichotumia sijakielewa…samahani lakini.
 
Ok kiufupi nywele zng ni laini na ndefu tatizo zinakatika katika
ninatumia dawa ya profective, stimming na lotion
 
tumia mafuta ya t444z from uk

41yyl5u%2bnwl._sx300_.jpg
ahsante japo nimeyatafuta sijayapata
 
Mkuu vp kuhusu m2 ambaye kidogo ni kijana sema mvi zinamvizia kwa mbali unamshahuru afanyeje
 
Mkuu vp kuhusu m2 ambaye kidogo ni kijana sema mvi zinamvizia kwa mbali unamshahuru afanyeje

Ha ha haaa...Mkuu vipi una mvi nini!!? Hizo zitakuwa zina asili ya ukoo anaotokea. Na Hana cha kufanya zaidi ya kukubali matokeo...otherwise kila baada ya mwezi mmoja awe anaweka permanent black hair color.
 
Ok kiufupi nywele zng ni laini na ndefu tatizo zinakatika katika
ninatumia dawa ya profective, stimming na lotion
mari3mar...naomba unisome post No 199 na post No 200. Jaribu kutumia hizo product am sure zitakusaidia.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna cha upula wala nini...sema tu hizo nywele zako hazijapata chakula kizuri zikashiba. Kuna treatment fulani nitakuelekeza na mafuta yake ya kupaka...within 3 month utakuwa na msitu wa nywele.

By the way kwa sasa unazilisha chakula gani? (Product)

Mpenzi tutajie hiyo treatment wenye hilo tatizo la kukatika nywele katikati tuko wengi.Mi nimeteseka mwaka karibu wa 12 now kila nikisema nizitunze nywele zikikua kiasi zinaanza kukatika katikati utasema nimenyolewa.Ht mm niliwaza ni upara
 
Daah pole sana na kucha zako! Lakini kwanini zinakuwa laini na kukatika katika? Au hapo kabla ulikuwa unabandika kucha mfululizo? Hinna ya dukani (tube) ni mzuri,lakini si kwa kila mtu...tumia hinna ya asili kupaka kwenye kucha zako na am sure zitakuwa ngumu kama zamani. Ila kwa sasa kama utakuwa unaenda salon for hair basi jitahidi wakufanyie na manicure japo kwa mwezi mara mbili.

Hongera nimeona kiganja chako na kucha zako...mashalah mtoto unamkono mzuri balaaa...ha ha haaaa!!

Hahahaa haaaa
Santeeee
Cjawahi bandika kucha na wala cpendi

Nashukuru kwa ushauri nitafanya hivyo
 
Mpenzi tutajie hiyo treatment wenye hilo tatizo la kukatika nywele katikati tuko wengi.Mi nimeteseka mwaka karibu wa 12 now kila nikisema nizitunze nywele zikikua kiasi zinaanza kukatika katikati utasema nimenyolewa.Ht mm niliwaza ni upara

Pole sana mpenzi!…sasa ni hivi,kuna kitu kinaitwa SPECIAL TREATMEN (ni steaming ya nywele.Huu ni mchanganyiko wa baadhi ya steaming kama makopo 7 na vitu vya asili kama bangi,mayai ya kienyeji nk. Pia kuna mafuta yake ya kupaka chini ya ngozi na juu nywele. Nikikuambia eti ukanunuwe vitu hivi na ujifanyie mwenyewe nitakuwa nakuongopea kwani is very very complecated jinsi ya kuvichanganya na kipimo cha wewe kujiweka kichwani…alafu kubwa zaidi kuna steamer zake maalum maalumu kwa treatment hii.

Kama uko Dar ningekushauli uende Million Hairs Salon iliyopo mikocheni kwa Mwl nyerere na uanze hiyo tiba
Au uende Sally salon iliyopo pale Benjamin mkapa tower... azikiwe street posta mpya. ila sina uhakika kama kweli na hapo wanafanya special treatment hiyo coz na mimi nilisikia tu. Ila Million Hairs Salon ni uhakika they do it.

Hiyo treatment unaifanya kipindi cha miezi mitatu bila kukosa…kwa mwezi unaifanya mara 2…so kwa miezi mitatu utaifanya mara 6. Kama kutakuwa na maelezo zaidi basi ukifika pale utapewa utaratibu wote…na hilo tatizo lako la nywele litakuwa historia.
 
Mweeeeee nimepitwaaa
Poor mi.. nilikuwa wapi mwaka mzima sina habar..angrrrrr
 
Habari,naomba msaada wako,mimi asili nina nywele nyingi na nzito sasa tangu nimeanza kuweka dawa nywele zangu zimekuwa nyepesi mno na zinakatika sana hasa huku nyuma na zinakuwa kama zimekakamaa yaan hata kubana naogopa kwa kukatika kwake, huwa naweka dawa ya revlon na stmng ya dark&lovely,
 
Mkuu MillionHairs nasikitika kuchelewa ingawa nami nitaambulia ukoko. nywele yangu ya asili ni nzito, nene na ni ngumu kama steel wire wasusi huwa nawahurumia kama sina dawa. Nilikuwa natumia dawa ya Revlon ya kopo, IC conditioner na mafuta ya organic, nywele yangu ilivutia kwa muonekano na ilikuwa imejaa na ndefu mpaka mabegani. kutokana na uzito ule nilishauriwa nibadili na kutumia Dark & lovely (beautiful begin), T - Tree condition Parnevu, na T - Tree oil najuta kwani nywele imekuwa nyepesi na inakatika sana. Naomba ushauri wako kwani mwanamke nywele aise.
 
Last edited by a moderator:
Mbalu,pole kwa yote na nimekuelewa...ila kwa sasa nitashindwa kukujibu vizuri...maana niko nje ya TZ na niko busy sana. Na mara nyingi ninapowajibu watu huwa natumia PC au Ipad na hivyo vitu vyote hapa siko navyo. So siku nikirudi Bongo nitakupa jibu kiufasaha dada angu.
 
Back
Top Bottom