Ooh pole yake! Anyway mimi siyo daktari ila nitakujibu kulingana na uzoefu wangu kwenye hii beauty industry.
Mkuu,baadhi ya Salon ndani yake kunakitu kinaitwa Beauty Clinic,hichi kitengo kinausika na skin care treatments.
Sasa tafuta Spa au Salon yoyote ambayo wanafanya huduma hizo then mpeleke shemeji yangu...ukifika waambie wamfanyie Kati ya huduma hizi 3
1. Steamer body srub
2. Full facial steamer body scrub au
3. Sea salt steamer body scrub.
Mkuu,hizo ni bonge la skin treatments na atakuwa anaudhuria kufanya hiyo huduma kama vile hospital.
Anaweza kufanya mara 2 ndani ya mwezi mmoja au mara 3 ndani ya miezi miwili...inategemea ameathirika kiasi gani na ilo tatizo.