Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haa nilihisi tu...maana wadada au wamama waliowengi ukiona au kumsikia anasema kucha zake zina matatizo basi uje alikuwa anaweka au bado anaweka sana hand tips. Ukiweka hand tips mara kwa mara ni lazima kucha zako zipate mushkeri.
Ushauri wangu kwako ni: kwanza pumzisha kucha zako kwa kutokubandika kwa miezi kama mitatu hivi...zingatia kuzifanyia pedicure na manicure kwa kwenda salon yenye huduma mzuri. Pia make sure unanunua nail hardener polish mzuri( from SH Amon au Marry rose cosmetics) na uwe unajipaka kwenye kucha zako za natural asubuhi na jioni baada ya kuoga.
Pole sana mpenzi!...before umewahi kutumia dawa ipi na ipi? Na kwa mara ya mwisho hapa karibuni umeritouch dawa gani?Nitumie dawa gani ya nywele ili nywele zangu ziwe na afya na za kuvutia? Maana nywele zangu ni nyepesi sana nilishauriwa kutumia blow out relaxer bt till now nywele zangu ni kituko huku kichwani ni aibu sasa naomba ushauri nitumie dawa ip nzur pamoja na steaming ili namim nijidai na nywele zangu kuliko kuishia kwenye kusuka na kushonea wivings
Pamoja sana...ila zingatia kuzipumzisha kucha zako kwanza(usibandike) na uzifanyie treatment ya manicure & pedicureS.H amon sitaki hata kupasikia best, waliniuzia vipodozi acha nitoke chunusi, alafu ilikua karibia na harusi yng, aaaah... lbd merryrose nijaribu hy product yao ya kucha ... shukrani sn mtu wng
Ha ha haaa! umenifurahisha sana...you mean tumia pesa ikuzoee si ndiyo maana yake?bei gani for me I can do it........ela matumizi yake nini!!!!!ndo mambo ka hayo
ka sina sina ka ninayo urembo muhim my dia.......
na kule millionhairs wanaifanya hii ka hamna nitajie saloon inayofanya hii kitu fresh
Ha ha haaa! umenifurahisha sana...you mean tumia pesa ikuzoee si ndiyo maana yake?
Any way ukienda Uzuri Salon,Abisinah Salon,American Nails salon, Sally Salon na Million Hairs Salon utapata hiyo huduma.
Ukifanya kwa mirija ya kawaida bei yake inaanzia elfu 30 na ukifanya kwa hizo bomba za kisasa bei yake inaanzia elfu 50
asante my dia nataka kuchange my hairstyle kwa muda........nimechoka kubana........
sio ghali kihivo.........I will manage tu...asante million hairs iko mikocheni...........maeneo gani hasaa

View attachment 123948 View attachment 123950View attachment 123951sijaweka dawa nywele zangu, naweza kusafishwa nywele zangu nikienda salon?
Nitumie dawa gani ya nywele ili nywele zangu ziwe na afya na za kuvutia? Maana nywele zangu ni nyepesi sana nilishauriwa kutumia blow out relaxer bt till now nywele zangu ni kituko huku kichwani ni aibu sasa naomba ushauri nitumie dawa ip nzur pamoja na steaming ili namim nijidai na nywele zangu kuliko kuishia kwenye kusuka na kushonea wivings
ukija unambie dawa ya kuondoa madoa na makovu mwilini.
ile ambayo haina kemikali tafadhari..nina ngozi veery sensitive
ntaomba nikupm badae kuhusu makovu ya utotoni..lakini ya chunusi nimetumia bithaa ya oriflame ina content ya teatree imenisaidia sana..haina chemicals na ni for sensitive skin
kuna style hii ya nywele I wana try.nywele zangu ni ndefu na zina dawa pia
we unajua ni sehem gani wanaifanya poa na nyele zikiwa ndefu haina shida
sijui ka utaielewa hapo siijui jina lake mwaya
View attachment 124421
View attachment 123948 View attachment 123950View attachment 123951
Wapendwa ndugu zanguni wa MMU hasa wadada...kama kunakitu au vitu vilikuwa ninakutatiza kuhusiana na swala zima
la urembo wa salon' basi chukua nafasi hii kuniuliza swali lolote lile linalohusiana na huduma za salon.
Hair Reluxer
Hair treatment
Hair special treatment
Misuko
Hair designing &
Beauty clinic (full package)
Je,unatatizo lolote la nywele zako za asili? Au unatatizo lolote la kucha zako za asili?
Yaliyo ndani ya uwezo wangu nitayajibu na yale ambayo yatakuwa nje ya uwezo wangu basi nitayaacha.
"UZURI UNAZALIWANAO ILA UREMBO NA USAFI WA MWILI UNAJIPA MWENYEWE"
Millionair
Ninaweka olive oil kwa muda mrefu na wala nywele zangu hazijawahi pata tatizo.
Hazijui steaming wala mafuta special mi natumua yyt na nywele zangu ni nzuri. ...nyingi, nzito, ngumu bt nina mba pia.
Ss mi nikabadirisha dawa from olive oil ile ya zamani (sshiv kuna mpya nyingi tu) to hizo mpya.
Nikaweka mpya! 2tyms
Kilichotokea ni nywele kukatika sana tu....na.mbaya zaid zilikatika sn nyuma tu ,kilichonishangaza zaidi hiyo sehemu zilipokatika nikiweka dawa niki retouch haishiki kabisa.
Nikaamua kurudi kwenye dawa yangu yaani olive oil ile ya zamani bt bado naona kuna tatizo japo c sana......bt ht hivyo hyo olive oil ya zamani nimeambiwa ndo inaishia na kweli kuipata imekuwa tabu zilizopo available ni hizi mpya.
Msaada plz
Ss tabu ndo ipo hapa kila.mtu ananishauri nihame
Swali nitahamia dawa ipi?
Hebu elezea zaidi kuhusu hiyo curl na permanent curl,weka na picha kama unazo,maana naona kuna mdau kauliza kuhusu kalikiti ukamwambia ni old fashion wakti mm nilidhani kalikiti ndo hiyo hiyo curl,fafanua tafadhali