Wadada tunaopenda savvana tukutane hapa



Wadada hatupendi vinywaji vikali na vyenye ladha kali au mbaya wengi tunafurahia uwepo wa savvana.

Nakipenda kinywaji hiki jaman nawakaribisha wadada wa Jf muanze kutumia.
Ukianza kupenda Mirinda Nyeusi uniite
 
Wanaume wa Dar ndio kinywaji Chao hiko usiwakaribishe wadada wa jf tuu pekee.
Hahaha
Wanaume wa Dar ni shidaaa
Hahaha
Ladha ya savanna na saint Anna huwa naona zinaelekeana...hazinivutii
Japokuwa sijawahi kunywa mikojo,ila huwa nahisi zina ladha ya mikojo

Napenda zaidi amarula
Hahhaa
Hujaweka angalizo.

Alcohol abuse is dangerous.

Only for those over 18.

Na muhimu zaidi mujinunulie. Vyuma vimekaza.
Hahhaha:! Umewahi kunywa kilevi kinachotengezwa na miwa!! Karibu tanga japo sio kwetu:! Kina ladha ya savanna na saint anna ila baada ya hapo inatoka gongo hatari mdomoni ni miwa tu ila.....,,,,,!!!! Mda wa kuondoka bar ndio utasimulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…