Wadada tunaopenda savvana tukutane hapa

Acheni kujikweza wanawake wa dar kinywaji chao official kwa sasa ni serengeti light ya Tshs 1,500-2,000 na Sminoff Sijui zinauzwa bei gani ila zinauzwaga kwa mafungu kama nyanya, zile windhok na heinken washasahau ladha yake
 
Cheers for savanna [emoji482]
Desperado ndio iko kwenye chupa kama ya redd' ya chupa??
 
Mlevi ana bwia kila siku na anahakikisha ana lewa mpaka kuondoka ni shida! Mwaji hanywi kila siku ila ana viwango kama akitaka kumywa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…