Wakisemwa kwa upole hawataacha,Uanaume sio umbo, ni matendo. Ukiombwa hela inbox au PM usitangaze. Binafsi sina hulka ya kuomba hela na kama yupo ambaye nimewahi kumuomba hela aweke screenshot nitamrudishia mara tatu.
Wanawake ombaomba hapa kweli wapo, wasemeni kwa upole na wala msiwaseme kwenye vikao vyenu vya kahawa.
NB:-
Wadada wote ombaomba, komeni mara moja
Mbombo ngafu😁😁Badilikeni. Baada ya mimi kutoa uzi wa kuzinguana na mke wangu, kuna dada alinifuata PM kwamba ananionea huruma sana kwa hali ninayopitia.
Tukazoeana zoeana baadae akasema ninamvutia kwa ile profile picture yangu ya WhatsApp kwa hiyo kama vipi niwe naye, nikaona poa tu, aisee
Demu anapiga mizinga kichizi. Halafu akiomba vocha, ukimtumia voda ya buku 2 anakutukana, eti mi unanionaje? Mimi vocha ya buku 2 ya nini.
Mkuu,mrembo wa kilokole anaendeleaje Kwa sasa?Mi mwenyewe wamenichosha, yaani usimpe hi mdada pm. Kosa
Mimi anayekuja front huwa ndiye mwenye matatizo. Mtongozane kinya kimya yakiharibika mtuhusishe why?Na hiyo ndio shida.kuna ubaya gani mkamalizana huko huko mlipokutaniana?ni huzuni
Naweza kusema ni akili za kipuuzi tu.🚮🚮Mimi anayekuja front huwa ndiye matatizo.
Mtongozane kinya kimya yakiharibika mtuhusishe why?
Malizaneni huko huko
Za ki trashi sio😅Naweza kusema ni akili za kipuuzi tu.🚮🚮
Kungwi hukufundwa hivyo lakiniMaskini pole hata siwezi kufanya hivyo ndugu yangu.mimi pia sina pesa lakini kusumbua watu na pesa zao ndio kitu siwezagi..
Msiwasahau wazee huko PM kwenu sasaAise
Acheni hizo basi tupeni hizo fweza.ninaweza kupata 50,000 hapo mkuuNinakazia. Jamii ina kitu cha kufaya. Wadada wengi wana syndrome ya kuomba omba. Very disgusting.
Huwa najiulizaga,,hivi hao wanaoomba pesa kama walemavu hawafanyikazi?Msiwasahau wazee huko PM kwenu sasa
Niandalie ekarii kadhaa nije tulime ufutaI'm just 41. Nilianza biashara nikiwa ni ngali mdogo. Nimesha kuwa na dogs farm, nimefuga hadi nyuma sumu nikawa nauza nje hadi pale Corona ilipo strike.
Sasa nalima ufuta
Kungwi mwenzangu ndio hivyoKungwi hukufundwa hivyo lakini
hapa ndo napochoka, mtu unatongoza id aisee wana roho ngumuu au hua kuna meetings watu wanathaminisha?hivi jf kuna wanawake pia kumbe!!!!
Kumbuka mmeumbwa kupewa, ila sasa isiwe too much, omba kwa wastani tena kwenye ishu serious.Huwa najiulizaga,,hivi hao wanaoomba pesa kama walemavu hawafanyikazi?
Ukiombwa milioni tano au kumi utatoa?Kumbuka mmeumbwa kupewa, ila sasa isiwe too much, omba kwa wastani tena kwenye ishu serious.
Ila hizi za kwenda kusuka, mara kutengeneza nywele huwa naona ni kero kwa kweli.
Tena amtag kabisa aje hapa tumpe mbinu mpya😂😂😂Kumbe tunaishi na kajambazi ka kike kanataka Hadi chupi kanunuliwe na utamu hakatoi
Nani huyo?
Mpaka kuja kukupa hiyo hela, umekuja na proposal mezani tumejadili na nimeona inakuwa implemented.Ukiombwa milioni tano au kumi utatoa?
Nanyie muwe mnajiongeza sio mpka uombwe
Mkorofi wewe,hivi kwanza hujo PM yako hamna kijeba kinakuomba pesa?Tena amtag kabisa aje hapa tumpe mbinu mpya😂😂😂
hahahahaha,dahJana wana JF kadhaa wenye club yetu fulani hivi amazing tulikuwa tumekutana The Wine Coutry kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2023.
Wanawake tulikuwa wawili tu, mimi na bidada mwingine na wanaume idadi yao ilikuwa kumi na kitu.
Jamani miongoni mwa mambo ambayo wanaume wanayaona ni kero ni swala la kupiga mizinga.
Wanawake tena mmetajwa kwa majina ambao mnashinda inbox mki zingalaizi. Mara mama anaumwa, mara dada kagongwa na bodaboda, mara nitumie hela ya kusuka nywele mara sina ada ya watoto.
Jamani kwa kweli mnahoyafanya huko PM aibu nimeona mimi. Ukitongozwa ndio usiseme. Hata kama una kazi ya ajira, tena mwajiriwa wa serikali, unaomba kuanzia vocha hadi hela ya chupi.
Wewe uko Dodoma mwanaume yuko Dar hajawahi hata kukulala zaidi ya kuonana mara moja na tena ulikuwa kwenye siku zako.
Nimekutaja wewe dada wa Dodoma sababu umekuwa na tabia ya kuwatongoza wanaume na baadae unaanza kuwa kero kwao na mizinga unayowapiga.
Jamani nawakaribisha Lindi tulime ufuta mbona kilimo poa tu, unapata hela ya kukukimu na huadhiriki.
2023 tubadilikeni jamani