Mimi mwenyewe ni mlokole ile deep kabisa lakini nimechagua kutokuwa mnafiki. Gambe sana,mikasi ya kwenda lakini linapokuja swala la Imani na kumuomba Mungu unafiki naweka kando naupeleka moyo uliopondeka mbele zake.Acha kuchochea kuni mkuu. Sijui kama itawezekana,yule ulokole wake ni deep sana. Kila kitu "amina...amina mtumishi"
Sio kama mmoja wa kuchovya, alipokojoa ndio akaona amefanya dhambi na kuanza kunililia chumbani. Ilikuwa zamani lakini.
Mbona case za Dodoma zinazidi kuwa nyingi, natamani kuhama walaqhi'...!!
Baba Carleen, Mac Alpho hii issue ya kutajwa Dodoma naona inazidi kuwa serious, ushauri wako tafadhali sana..!!
Haya bhan…nimefurahi kukuona tena.imekuwa muda sna sijakuonahahahaha,
kipenzi,hakuna wakunikamata
Haaa haa hatuchekani. Ibada mpaka za katikati ya wiki ila nikishaona tako linanichekea tuu akili zinaruka. Ila 2023 nitajitahidi k zitaniuaMimi mwenyewe ni mlokole ile deep kabisa lakini nimechagua kutokuwa mnafiki.
Gambe sana,mikasi ya kwenda lakini linapokuja swala la Imani na kumuomba Mungu unafiki naweka kando naupeleka moyo uliopondeka mbele zake.
Chakata nyama hiyo unaremba sana
nipo kipenzi,nami nafurahi sana kukuonaHaya bhan…nimefurahi kukuona tena.imekuwa muda sna sijakuona
Mimi ni mwanamke mkuu..naona umeandika ni kama mwanaume mwenzio 🤪🤪Haaa haa hatuchekani. Ibada mpaka za katikati ya wiki ila nikishaona tako linanichekea tuu akili zinaruka. Ila 2023 nitajitahidi k zitaniua
hahahahaMimi mwenyewe ni mlokole ile deep kabisa lakini nimechagua kutokuwa mnafiki.
Gambe sana,mikasi ya kwenda lakini linapokuja swala la Imani na kumuomba Mungu unafiki naweka kando naupeleka moyo uliopondeka mbele zake.
Chakata nyama hiyo unaremba sana
Nafahamu. Maana ulisema kwenye kupiga game hujivungiMimi ni mwanamke mkuu..naona umeandika ni kama mwanaume mwenzio 🤪🤪
Na k zitakudanjisha usipoangalia😝
🙄🙄🙄🙄Chinekeee!!!Jana wana JF kadhaa wenye club yetu fulani hivi amazing tulikuwa tumekutana The Wine Coutry kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2023.
Wanawake tulikuwa wawili tu, mimi na bidada mwingine na wanaume idadi yao ilikuwa kumi na kitu.
Jamani miongoni mwa mambo ambayo wanaume wanayaona ni kero ni swala la kupiga mizinga.
Wanawake tena mmetajwa kwa majina ambao mnashinda inbox mki zingalaizi. Mara mama anaumwa, mara dada kagongwa na bodaboda, mara nitumie hela ya kusuka nywele mara sina ada ya watoto.
Jamani kwa kweli mnahoyafanya huko PM aibu nimeona mimi. Ukitongozwa ndio usiseme. Hata kama una kazi ya ajira, tena mwajiriwa wa serikali, unaomba kuanzia vocha hadi hela ya chupi.
Wewe uko Dodoma mwanaume yuko Dar hajawahi hata kukulala zaidi ya kuonana mara moja na tena ulikuwa kwenye siku zako.
Nimekutaja wewe dada wa Dodoma sababu umekuwa na tabia ya kuwatongoza wanaume na baadae unaanza kuwa kero
Jana wana JF kadhaa wenye club yetu fulani hivi amazing tulikuwa tumekutana The Wine Coutry kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2023.
Wanawake tulikuwa wawili tu, mimi na bidada mwingine na wanaume idadi yao ilikuwa kumi na kitu.
Jamani miongoni mwa mambo ambayo wanaume wanayaona ni kero ni swala la kupiga mizinga.
Wanawake tena mmetajwa kwa majina ambao mnashinda inbox mki zingalaizi. Mara mama anaumwa, mara dada kagongwa na bodaboda, mara nitumie hela ya kusuka nywele mara sina ada ya watoto.
Jamani kwa kweli mnahoyafanya huko PM aibu nimeona mimi. Ukitongozwa ndio usiseme. Hata kama una kazi ya ajira, tena mwajiriwa wa serikali, unaomba kuanzia vocha hadi hela ya chupi.
Wewe uko Dodoma mwanaume yuko Dar hajawahi hata kukulala zaidi ya kuonana mara moja na tena ulikuwa kwenye siku zako.
Nimekutaja wewe dada wa Dodoma sababu umekuwa na tabia ya kuwatongoza wanaume na baadae unaanza kuwa kero kwao na mizinga unayowapiga.
Jamani nawakaribisha Lindi tulime ufuta mbona kilimo poa tu, unapata hela ya kukukimu na huadhiriki.
2023 tubadilikeni jamani
kwao na mizinga unayowapiga.
Jamani nawakaribisha Lindi tulime ufuta mbona kilimo poa tu, unapata hela ya kukukimu na huadhiriki.
2023 tubadilikeni jamani
Aisee sio poasema mtandao huu una vinyau vingi acha viliwe.sasa kimtu unakihonga elf 50 kinakubali🤣🤣ngoja viliwe.ila pointi yangu nikwambaa ukiona unakula demu humu usijisifie Mana nitakataka sura zenyewe mbovu.🤣🤣Kuna uzi wanarushiana picha zao niliuona juzi aisee mademu wanao rusha picha zao niwabovu hatariii🤣🤣🤣halafu unakuta wenyewe wanna sifiana like...waooooo mswetiiii umependeza🤣🤣🤣ila kusema ukweli niwabovu 🤣ila wenye ugumu wanaishi nao nakuhonga wanna honga...
Sasa wewe unavyomuhonga mama j na mke wako kwa nini mtu asibahatishe bahati kwako?Uyo wa dodoma na mwajiriwa serikalini nishawaikutana na mzinga wake Pm[emoji850]
Nakazia, Jiwe gizani! Limeshapiga mtu huko.Numbisa my darling wewe wala hata hukuwa mentioned. Sitaji majina, jiwe gizani
Sio poa wewe una lako jambo .. kuna visu vikali mule wadada wazuri na wakuvutia .kwani na wewe unarushaga🤣🤣🤣🤣🤣
hata hivyo sijangalia sana ndio Mana.labda nirudi tena kuangalia.hao unao waita visu.Sio poa wewe una lako jambo .. kuna visu vikali mule wadada wazuri na wakuvutia .
Ukweli mttupuSuala la Vizinga kwa Ke wengi limechangiwa na Michezo yao ya Vikoba. Na Wakati mwingine kupenda kuishi maisha ya Show Off hata kama mtu ana kipato Cha Chini.
Ke anapiga Vizinga ili Lunch akale Ramada hotel Wakati uwezo wake ni kula Shishi Food.
Mizinga imekuwa Mingi hadi Wanaume tunapoteza nguvu za Kiume 😢
Mnaweza kukuta mnapoteza watu wa muhimu kwenye maisha yenu kwa kuendekeza njaa isiyoisha 🏃🏃
Hahaha wewe una shida aisee .hata hivyo sijangalia sana ndio Mana.labda nirudi tena kuangalia.hao unao waita visu.