Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

yaani wewe 😅😅
jamani nakuomba tu uache kusema vibaya mule ndani kuona picha ndo furaha zetu wengine .

acha tupeane moyo tu na kusifiana
hamna mrembo nikuchangamsha kijiwe tuu🤣🤣usichukulie silias.naomba bas kapicha😂😂
 
Iwe mwanamke au mwanaume, tabia ya kuomba omba hela kama huna mikono si nzuri.
Kwanza unajishusha hadhi yako, kijana una nguvu zako, kwanini umuombe mtu mwingine?
Umetongozwa unaanza mizinga!!! Kabla ya kukutongoza ulikuwa unaishije? akikupenda atakupa kama mpenzi wake, acheni umatonya.

My love for you will never end



[emoji3590][emoji177][emoji177][emoji177][emoji3590][emoji177][emoji177][emoji177][emoji177][emoji177][emoji177]dyadya yakibantu[emoji3590]
 
Back
Top Bottom