wanagoma kutuma picha zao nisaminisheBado tu unahangaika?😂
Hakikisha unapoomba picha za warembo unatag zulu man ili nikutumie kama wakikataa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanagoma kutuma picha zao nisaminisheBado tu unahangaika?😂
Hakikisha unapoomba picha za warembo unatag zulu man ili nikutumie kama wakikataa
yaani wewe 😅😅🤣🤣🤣 dah kweli nimeji kaanga mwenyewe
[emoji3516]Wanaume wana pdf kabisa la ombaomba
hamna mrembo nikuchangamsha kijiwe tuu🤣🤣usichukulie silias.naomba bas kapicha😂😂yaani wewe 😅😅
jamani nakuomba tu uache kusema vibaya mule ndani kuona picha ndo furaha zetu wengine .
acha tupeane moyo tu na kusifiana
Sina picha hata hivyohamna mrembo nikuchangamsha kijiwe tuu🤣🤣usichukulie silias.naomba bas kapicha😂😂
hivyo hivyo bhana🤣kwanza ukiwa mzuri sana nitaibiwaUmenionea wapi
akhu nipo kama dume 😅
nitag kwenye ule uzibas siuoniSina picha hata hivyo
endelea kuchangamsha kijiwe
Kila mtu akutumie uthaminishe?😅wanagoma kutuma picha zao nisaminishe
wanasema wao niwarembo🤣kwahio kila anaesema hivyo namuomba kapicha kidogo nijirizisheKila mtu akutumie uthaminishe?😅
😅😅😅hivyo hivyo bhana🤣kwanza ukiwa mzuri sana nitaibiwa
okaynitag kwenye ule uzibas siuoni
😂😂😂😂😂
Nikila nauli je, halafu sitokei baba..??
Iwe mwanamke au mwanaume, tabia ya kuomba omba hela kama huna mikono si nzuri.
Kwanza unajishusha hadhi yako, kijana una nguvu zako, kwanini umuombe mtu mwingine?
Umetongozwa unaanza mizinga!!! Kabla ya kukutongoza ulikuwa unaishije? akikupenda atakupa kama mpenzi wake, acheni umatonya.
😂😂😂😂😂😂
Nitakutafuta mpaka ndotoni.
Siku hizi kuwapata wale Mwanamuzi Ne-Yo aliwaimba "Miss Independent" imekuwa vigumu mnoUkweli mttupu
Nilitaka nijibu ila una bahati, dada ako amecomment chini ya hii comment yako😂😂.😂😂😂
Hiyo ya huko ndotoni na me ndiyo napendaga...
Yani mdada ambae anajidai sijui hapendi helaa huyo ndo balaaa...