Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Acha kuchochea kuni mkuu. Sijui kama itawezekana,yule ulokole wake ni deep sana. Kila kitu "amina...amina mtumishi"
Sio kama mmoja wa kuchovya, alipokojoa ndio akaona amefanya dhambi na kuanza kunililia chumbani. Ilikuwa zamani lakini.
Mimi mwenyewe ni mlokole ile deep kabisa lakini nimechagua kutokuwa mnafiki. Gambe sana,mikasi ya kwenda lakini linapokuja swala la Imani na kumuomba Mungu unafiki naweka kando naupeleka moyo uliopondeka mbele zake.

Chakata nyama hiyo unaremba sana
 
Mbona case za Dodoma zinazidi kuwa nyingi, natamani kuhama walaqhi'...!!

Baba Carleen, Mac Alpho hii issue ya kutajwa Dodoma naona inazidi kuwa serious, ushauri wako tafadhali sana..!!

Nakutumia nauli uje Mwanza binti angu, nafikiri tunatakiwa kuhama Dodoma.
 
Kuna mmoja anapiga mizinga hyo hata umwambie vp haelewi halafu king'ang'anizi ile mbaya hata umuache haachiki.
 
Mimi mwenyewe ni mlokole ile deep kabisa lakini nimechagua kutokuwa mnafiki.
Gambe sana,mikasi ya kwenda lakini linapokuja swala la Imani na kumuomba Mungu unafiki naweka kando naupeleka moyo uliopondeka mbele zake.

Chakata nyama hiyo unaremba sana
Haaa haa hatuchekani. Ibada mpaka za katikati ya wiki ila nikishaona tako linanichekea tuu akili zinaruka. Ila 2023 nitajitahidi k zitaniua
 
Haaa haa hatuchekani. Ibada mpaka za katikati ya wiki ila nikishaona tako linanichekea tuu akili zinaruka. Ila 2023 nitajitahidi k zitaniua
Mimi ni mwanamke mkuu..naona umeandika ni kama mwanaume mwenzio 🤪🤪

Na k zitakudanjisha usipoangalia😝
 
Mimi mwenyewe ni mlokole ile deep kabisa lakini nimechagua kutokuwa mnafiki.
Gambe sana,mikasi ya kwenda lakini linapokuja swala la Imani na kumuomba Mungu unafiki naweka kando naupeleka moyo uliopondeka mbele zake.

Chakata nyama hiyo unaremba sana
hahahaha
 
Sio Vizinga tu, yani Mdada awe wa JF awe wa Kitaa ukimuomba tu namba (anajua unamtaka)

Ukimuita (anajua unamtaka) kumbe sazingine humtaki yeye unataka akusaidie mambo Flani maana ushawahi muona Mahali... (lenyewe linajua unalitaka)

Midada ya siku hizi ni ya hovyo na ndio mana Haiolewi,Haina Kazi.

Vizinga ndio kabisaaa, Halafu ubaya au uzuri wadada wa siku hizi AIBU hawana yani mishipa ya aibu ishajifia.

Halafu unafikiri ni wadada wasio na kazi ndio wenye hizi tabia za OMBA OMBA tu!?

Nikiita wadada nakosea hadi wake zetu nao pepo la omba omba limewakumba yani kukupa sababu ya kipumbavu ili tu umpe hela ni kawaida.

inshort am tired na hii jinsia "KE"
 
Jana wana JF kadhaa wenye club yetu fulani hivi amazing tulikuwa tumekutana The Wine Coutry kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2023.

Wanawake tulikuwa wawili tu, mimi na bidada mwingine na wanaume idadi yao ilikuwa kumi na kitu.

Jamani miongoni mwa mambo ambayo wanaume wanayaona ni kero ni swala la kupiga mizinga.

Wanawake tena mmetajwa kwa majina ambao mnashinda inbox mki zingalaizi. Mara mama anaumwa, mara dada kagongwa na bodaboda, mara nitumie hela ya kusuka nywele mara sina ada ya watoto.

Jamani kwa kweli mnahoyafanya huko PM aibu nimeona mimi. Ukitongozwa ndio usiseme. Hata kama una kazi ya ajira, tena mwajiriwa wa serikali, unaomba kuanzia vocha hadi hela ya chupi.

Wewe uko Dodoma mwanaume yuko Dar hajawahi hata kukulala zaidi ya kuonana mara moja na tena ulikuwa kwenye siku zako.

Nimekutaja wewe dada wa Dodoma sababu umekuwa na tabia ya kuwatongoza wanaume na baadae unaanza kuwa kero
Jana wana JF kadhaa wenye club yetu fulani hivi amazing tulikuwa tumekutana The Wine Coutry kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2023.

Wanawake tulikuwa wawili tu, mimi na bidada mwingine na wanaume idadi yao ilikuwa kumi na kitu.

Jamani miongoni mwa mambo ambayo wanaume wanayaona ni kero ni swala la kupiga mizinga.

Wanawake tena mmetajwa kwa majina ambao mnashinda inbox mki zingalaizi. Mara mama anaumwa, mara dada kagongwa na bodaboda, mara nitumie hela ya kusuka nywele mara sina ada ya watoto.

Jamani kwa kweli mnahoyafanya huko PM aibu nimeona mimi. Ukitongozwa ndio usiseme. Hata kama una kazi ya ajira, tena mwajiriwa wa serikali, unaomba kuanzia vocha hadi hela ya chupi.

Wewe uko Dodoma mwanaume yuko Dar hajawahi hata kukulala zaidi ya kuonana mara moja na tena ulikuwa kwenye siku zako.

Nimekutaja wewe dada wa Dodoma sababu umekuwa na tabia ya kuwatongoza wanaume na baadae unaanza kuwa kero kwao na mizinga unayowapiga.

Jamani nawakaribisha Lindi tulime ufuta mbona kilimo poa tu, unapata hela ya kukukimu na huadhiriki.

2023 tubadilikeni jamani

kwao na mizinga unayowapiga.

Jamani nawakaribisha Lindi tulime ufuta mbona kilimo poa tu, unapata hela ya kukukimu na huadhiriki.

2023 tubadilikeni jamani
🙄🙄🙄🙄Chinekeee!!!
 
sema mtandao huu una vinyau vingi acha viliwe.sasa kimtu unakihonga elf 50 kinakubali🤣🤣ngoja viliwe.ila pointi yangu nikwambaa ukiona unakula demu humu usijisifie Mana nitakataka sura zenyewe mbovu.🤣🤣Kuna uzi wanarushiana picha zao niliuona juzi aisee mademu wanao rusha picha zao niwabovu hatariii🤣🤣🤣halafu unakuta wenyewe wanna sifiana like...waooooo mswetiiii umependeza🤣🤣🤣ila kusema ukweli niwabovu 🤣ila wenye ugumu wanaishi nao nakuhonga wanna honga...
Aisee sio poa
wewe inakuuma nini ?
iweje useme wanawake hivyo .. si uwaache warushe kwani wewe unapungukiwa na nini ?

cocastic Antonnia
 
Uyo wa dodoma na mwajiriwa serikalini nishawaikutana na mzinga wake Pm[emoji850]
Sasa wewe unavyomuhonga mama j na mke wako kwa nini mtu asibahatishe bahati kwako?

Wanawake wote tunapenda wanaume wahongaji&mafogo.
Sema tu ndo bahati zinatofautiana.
Mie namuombea tu apate mwanaume atakayempenda na mwenye shekeri zake ili muache kumjadili.
Kawaida mwanaume akipenda mwanamke huwa anatoa tu bila kuomba na hata hahesabu.
Dada wa jf wa dodoma
 
Numbisa my darling wewe wala hata hukuwa mentioned. Sitaji majina, jiwe gizani
Nakazia, Jiwe gizani! Limeshapiga mtu huko.
Kama haikuhusu huna haja ya kupiga kelele.

Wanajitokeza tu. Moshi wa pilipili ukifukizwa ndani ya shimo, lazima kilichomo ndani kitoke, la , kiamue kufia humo.
 
Suala la Vizinga kwa Ke wengi limechangiwa na Michezo yao ya Vikoba. Na Wakati mwingine kupenda kuishi maisha ya Show Off hata kama mtu ana kipato Cha Chini.

Ke anapiga Vizinga ili Lunch akale Ramada hotel Wakati uwezo wake ni kula Shishi Food.

Mizinga imekuwa Mingi hadi Wanaume tunapoteza nguvu za Kiume 😢

Mnaweza kukuta mnapoteza watu wa muhimu kwenye maisha yenu kwa kuendekeza njaa isiyoisha 🏃🏃
Ukweli mttupu
 
Back
Top Bottom