wanagoma kutuma picha zao nisaminisheBado tu unahangaika?π
Hakikisha unapoomba picha za warembo unatag zulu man ili nikutumie kama wakikataa
yaani wewe π ππ€£π€£π€£ dah kweli nimeji kaanga mwenyewe
[emoji3516]Wanaume wana pdf kabisa la ombaomba
hamna mrembo nikuchangamsha kijiwe tuuπ€£π€£usichukulie silias.naomba bas kapichaππyaani wewe π π
jamani nakuomba tu uache kusema vibaya mule ndani kuona picha ndo furaha zetu wengine .
acha tupeane moyo tu na kusifiana
Sina picha hata hivyohamna mrembo nikuchangamsha kijiwe tuuπ€£π€£usichukulie silias.naomba bas kapichaππ
hivyo hivyo bhanaπ€£kwanza ukiwa mzuri sana nitaibiwaUmenionea wapi
akhu nipo kama dume π
nitag kwenye ule uzibas siuoniSina picha hata hivyo
endelea kuchangamsha kijiwe
Kila mtu akutumie uthaminishe?πwanagoma kutuma picha zao nisaminishe
wanasema wao niwaremboπ€£kwahio kila anaesema hivyo namuomba kapicha kidogo nijirizisheKila mtu akutumie uthaminishe?π
π π πhivyo hivyo bhanaπ€£kwanza ukiwa mzuri sana nitaibiwa
okaynitag kwenye ule uzibas siuoni
πππππ
Nikila nauli je, halafu sitokei baba..??
Iwe mwanamke au mwanaume, tabia ya kuomba omba hela kama huna mikono si nzuri.
Kwanza unajishusha hadhi yako, kijana una nguvu zako, kwanini umuombe mtu mwingine?
Umetongozwa unaanza mizinga!!! Kabla ya kukutongoza ulikuwa unaishije? akikupenda atakupa kama mpenzi wake, acheni umatonya.
ππππππ
Nitakutafuta mpaka ndotoni.
Siku hizi kuwapata wale Mwanamuzi Ne-Yo aliwaimba "Miss Independent" imekuwa vigumu mnoUkweli mttupu
Nilitaka nijibu ila una bahati, dada ako amecomment chini ya hii comment yakoππ.πππ
Hiyo ya huko ndotoni na me ndiyo napendaga...
Yani mdada ambae anajidai sijui hapendi helaa huyo ndo balaaa...