Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Ndio watulie,maana wengine mkute hata wanatongoza wanaume wenzao,maana humu watu Ni Anonymous mnatongoza Avatar ukute mtu anajifanya mdada kumbe ana shughuli zake za utapeli......binafsi ukija kunitongoza PM nitakupigia tu mzinga utanikimbia mwenyewe

Hilo huwa nalijua mapema hata kwa kuangalia comments tu, ndomaana sijawahi hata kufikiria kuzama huko DM kwako kwahiyo vizinga utawapiga haohao.

Tukirudi kwenye point ya msingi nafikiri hilo swala la wanaume kujifanya wanawake linafikirisha, na linaweza kuwa na ukweli.

Kwahiyo upo sawa.
 
Humu kuna watu wanajifanyaga ni classic sana, just imagine ulaya yote amefika,Vx V8 ndio gari zako,kula bata ni kila saa na sekunde zake, hakuna shida unakula raha kama vile upo pepo ya duniani,unajichanganya unazama inbox ya mdada,unatoa Hi,umejibiwa msg kama zote,dada anataka vocha unaanza kulalamika kwa washikaji inbox jf,haitoshi unawasimulia hadi wasikaji hata ambao Jf sio Mikato yao, haitoshi umeenda hadi kuwasimulia wadau wa Jf tena wadada,hiyo sio poa,we toa hela,ukiona inakuuma jua sio type zako,tuachie sisi,
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwanamke akisema hapana anamaanisha ndiyo, sasa acha ujionee tofauti na Vodacom..!!

Haha..
Kama kipaji pekee tuko nacho ni kuomba je.? Jasiri haachi asili na akiacha asili hana akili..!!
Sasa unadhani ningeacha? Nilikuwa nakutega tu, na umejaa kwenye mtegoπŸ˜„
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mama Samia alisema,"bahati mbaya Sana wanaume ndio wambea kuliko wanawake"......
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
Mjomba aje Junia
 
Acha uoga,tafuta hela.😁
 
Hata wanaume warahisi wapo pia hawachekewi na kitobo wamoooooπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ!! Yani hawachuji kabisa 😏😏😏😏😏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…