Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Ndio watulie,maana wengine mkute hata wanatongoza wanaume wenzao,maana humu watu Ni Anonymous mnatongoza Avatar ukute mtu anajifanya mdada kumbe ana shughuli zake za utapeli......binafsi ukija kunitongoza PM nitakupigia tu mzinga utanikimbia mwenyewe

Hilo huwa nalijua mapema hata kwa kuangalia comments tu, ndomaana sijawahi hata kufikiria kuzama huko DM kwako kwahiyo vizinga utawapiga haohao.

Tukirudi kwenye point ya msingi nafikiri hilo swala la wanaume kujifanya wanawake linafikirisha, na linaweza kuwa na ukweli.

Kwahiyo upo sawa.
 
Humu kuna watu wanajifanyaga ni classic sana, just imagine ulaya yote amefika,Vx V8 ndio gari zako,kula bata ni kila saa na sekunde zake, hakuna shida unakula raha kama vile upo pepo ya duniani,unajichanganya unazama inbox ya mdada,unatoa Hi,umejibiwa msg kama zote,dada anataka vocha unaanza kulalamika kwa washikaji inbox jf,haitoshi unawasimulia hadi wasikaji hata ambao Jf sio Mikato yao, haitoshi umeenda hadi kuwasimulia wadau wa Jf tena wadada,hiyo sio poa,we toa hela,ukiona inakuuma jua sio type zako,tuachie sisi,
 
😂😂😂😂
Mwanamke akisema hapana anamaanisha ndiyo, sasa acha ujionee tofauti na Vodacom..!!

Haha..
Kama kipaji pekee tuko nacho ni kuomba je.? Jasiri haachi asili na akiacha asili hana akili..!!
Sasa unadhani ningeacha? Nilikuwa nakutega tu, na umejaa kwenye mtego😄
 
Wewe humtaki kweli huyo bwana anae muonga kweli?

Kwa upande mwingine hao wanao toa pesa zao wajinga una anzaje kumpa mwanamke pesa hilihali yeye amekugeuza danga lake acheni ubwege ninyi midume ya ovyo na mtatapeliwa sana ukipigwa mzinga usilalamike umeyataka mwenyewe

Mwanamke akutongoze na bado umuonge sifanyi uho ujinga nitakuonga kama mimi ndio nimekutongoza napo kwa umakini sana maana mimi pia nina mizinga ya kutisha
Mjomba aje Junia
 
Hilo huwa nalijua mapema hata kwa kuangalia comments tu, ndomaana sijawahi hata kufikiria kuzama huko DM kwako kwahiyo vizinga utawapiga haohao.

Tukirudi kwenye point ya msingi nafikiri hilo swala la wanaume kujifanya wanawake linafikirisha, na linaweza kuwa na ukweli.

Kwahiyo upo sawa.
Acha uoga,tafuta hela.😁
 
Back
Top Bottom