Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Maneno huumba,yatupasa kuwa makini sana na nini tunakitamka..maneno huishi.

Kuna kipindi nilitamka maneno mabaya sana Kwa mtu wa karibu nami..guess what sasa…ilinichukua siku zaidi ya 120 kufunga na kusali nonstop mpka nilipokuja kupata Amani ya moyo ndipo nikaacha.

Ingawa nilikuwa naombea na mambo mengine lakini niliendelea kufunga nikaahidi siku nitakayopata Amani ya moyoni kila nikimkumbuka huyo mtu basi ndipo siku nitakayoacha kufunga.

Maneno na Imani ni vitu muhimu sana
 
Napata wasiwasi na huyo bi.mkubwa si bure! Kuna kitu cha jadi alifanya... mtu kukataa mimba ndo kashindwa kuzaa tena maishan?! 😳😳😳

Hehehe! Tafakari tena komredi kwa makini... familia zingine hizi sio
 
Duu, yalimkuta yapi?
 
Napata wasiwasi na huyo bi.mkubwa si bure! Kuna kitu cha jadi alifanya... mtu kukataa mimba ndo kashindwa kuzaa tena maishan?! 😳😳😳

Hehehe! Tafakari tena komredi kwa makini... familia zingine hizi sio
Alimuachia laana. Na ilishatokea pia kwa mtu mwingine namjua. Kuna watu wanaacha laana si za kitoto.
 
Naendelea kushangaa... yeye kama nani amuachie laana?!

Unajua hili ni somo lingine wanajamvi nafkiri inabidi lifunguliwe uzi wake.

Hivi mnafkiri Laana ni kitu cha mchezo au rahisirahisi kupewa au kumpa mtu?! Si kila mtu anaweza kukupa laana!

Ni watu mahususi na maalum ndo wana hayo mamlaka waliyojaaliwa na mungu. Laana si kitu cha mchezo
 
Jf inafurahisha sana. Kijana akianzisha uzi kulalamika kupigwa mizinga atashambuliwa tafuta hela,mwanaume lazima umpe hela mwanamke blah blah blah. Wachache sana humu huwa tunakemea ombaomba. Ila leo kila mtu hapendi wapiga mizinga!
Ukikemea ombaomba utaanbiwa huna hela, katafute hela uhonge! Hizi nadharia za jf ni hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…