Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Maisha haya ni bora kuwa mtoaji kuliko mpokeaji.

Amen Half American.

Huu moyo Sijui nimeutolea wapi aise.naweza kumuonea mtu huruma mpaka machozi na kwikwi(hususani nikiwa siko katika nafasi ya kumsaidia ๐Ÿฅน๐Ÿฅน)

Ngoja sasa nikuchekeshe ndugu mmarekani mwenzangu๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„kuna siku nimepiga vyombo vyangu kiaina..nikakutana na kitoto kidogo kinafanya biashara saa hiyo ni saa tatu na nusu usiku๐Ÿฅน๐Ÿฅนhajala na hajauza biashara zakeโ€ฆaise nililia mnooo..yani nililia sana kuliko kawaida.

Baadae nikaja kujiuliza hivi kwanini nalilia vile?๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„nikagundua kuwa kumbe nikipiga gambe huwa nashindwa kuuzuia moyo kabisa.

๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…mie phaller sana.Niko too emotional ๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ
U got a caring heart ni vizuri.
Baada ya kulia ulimpa chochote?
Wewe na jamaa yangu mmoja ni mapacha kabisa, akitupia vitu anakua too emotional kama ni kulia basi atalia sana sometimes ad gambe lipungue. Nna imani haya umeyaandika ukiwa normal mmarekani, sio ukiwa upiga vyombo.
 
Niwapeleka tukala pamoja(aise walikuwa na njaa jamani)then nikawapatia kiasi cha pesa wampelekee mama yao.

Ndugu mmarekani mwenzangu Niko too emotional(pasipo hata kupiga vyombo ndivyo nilivyo)ninakuwa mara mbili yake nikipiga masanga sasa.

Kuna siku nitakuja na uzi wa mtoto wa Dodoma pale msalato(ngoja niendelee kumfuatilia kwanza)ninaimani nitapata mawili matatu kutoka kwa wanajf
 
Isijekuwa now unalia maana upo too imoshono adi kutype koment ๐Ÿ˜‚
Ulifanya vizuri Mungu akubariki wewe na kizazi chako, umetoa sadaka ya upendo kwa wahitaji.
Ukija na huo uzi wa mtoto wa Dom msalato utanitag/mention, naamini nitazidi kujifunza kitu kutoka kwako no mara waa. ๐Ÿ˜
 
Nimecheka ujue..๐Ÿ˜„
Ai wee..kulia mpka big user na kitu kizito sio kulia kizembe hivyo๐Ÿ˜„

Amen na ikawe kama unenavyo mwana wa Mungu

Wewe siwezi kukuacha.utaniletea na huyo jamaa ako siku nikitaka kulia nimwambie tulie pamoja..no mara waa
 
Nafurahi kuona mimi ni sababu ya kicheko chako๐Ÿฅฐ
mi namkataa analia kama kafiwa na mama bhana ๐Ÿคฃ
 
Back
Top Bottom