Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Bado mnapigana mizinga?

Muda wa warembo huu kulipia mizinga kwa mabuzi, sponsor
 
Half american mwanachama mwingine huyu hapa😄
Tokea mdogo nilikuwa mama kulia kulia
Nikiangalia movie ya kusikitisha machoz yanatoka tu ,kuna siku nilienda sehemu moja hivi nikaonana na mama mmoja hivi ukimuona ana shida sana hajui hata atakula nin mpaka akafanye vibarua vya kulima lima akikosa ndio imetoka hivyo,nikiwa njiani nililia nikamuambia Mungu asante kwa kila kitu kuanzia leo sitalalamika chochote na unisamehe sana huwa nalalamika mim nna shida kuna watu wana shida
Yule mama nilimoa 10000 alishukuru utafikiri nimempa pesa nyingi na unamuona kabisa ,nikasema ningekuwa kiongozi nisingeacha watu wahangaike hivi wamama wajane
Huwa nikiwa na kitu namtumia anashukuru sana na hajawah niomba chochote kabisa
 
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆nimeshindwa kujizuia
😆 usilie sasa madam C.E.O
 
Tokea mdogo nilikuwa mama kulia kulia
Nikiangalia movie ya kusikitisha machoz yanatoka tu ,kuna siku nilienda sehemu moja hivi nikaonana na mama mmoja hivi ukimuona ana shida sana hajui hata atakula nin mpaka akafanye vibarua vya kulima lima akikosa ndio imetoka hivyo,nikiwa njiani nililia nikamuambia Mungu asante kwa kila kitu kuanzia leo sitalalamika chochote na unisamehe sana huwa nalalamika mim nna shida kuna watu wana shida
Yule mama nilimoa 10000 alishukuru utafikiri nimempa pesa nyingi na unamuona kabisa ,nikasema ningekuwa kiongozi nisingeacha watu wahangaike hivi wamama wajane
Huwa nikiwa na kitu namtumia anashukuru sana na hajawah niomba chochote kabisa
Hongera mkuu, kutoa ni moyo sio utajiri.
 
Kama yupo wa kukubembeleza na kukufuta machozi lia, sasa ulivyolia mwez mzima ilikua n hasira au ?
Alinipiga pesa 🙆🏼‍♂️🙆🏼‍♂️Sikuamin kama ni yeye siku najua nilishindwa kufanya chochote nilikuwa nafanya kazi nikaacha nikaondoka Boss akawa ananiita sikuitika nikaenda lala bora nilikuwa mbali nadhan ningekuwa karibu ningemuua ,mama angu alikuwa ananipigia simu ananibembeleza ananiambia sali mtoto wangu acha utapata zaidi pesa ni vitu vya kupita ,nikapiga simu awekwe ndani ikabidi nikalishwe kikao kuwa ana mtoto mdogo akiwekwa ndani mtoto ataangaliwa na nani ,nilikuwa nalia mpaka bwana angu akanirudishia zile pesa akaniambia haya unyamaze unaweza lia hata mwaka wewe 😂😂😂 alikuwa na kazi ya kuninyamazisha kila nikilia ,nilisamehe ila urafiki haupo kama zamani
Yashapita urafiki umerudi lakin sio kama zamani nilivyokuwa nae katika watu akiwa na shida anamtegemea na mim nipo ananitafuta naenda kumuona .
Mwez wa 12 alitakiwa agawane pesa za vicoba si pesa mwanakikundi kakimbia nazo halaf analia kwangu tena 😂😂😂
Nikajiambia huyu ananiambia tena hivi hajui nitamcheka 😂😂😂
 
Pole sana kwa yaliyokusibu, watu huwa wanasahau kuwa shida haziishagi, zipo ukisaidika leo haimaanishi ndio haitokaa itokee kwako tena. Huyo kashavunja uaminifu na sidhani kama ataweza kuujenga.
 
Back
Top Bottom