Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Alipatwa shida huwez amini niliejitokeza mim tu nikajiuliza huyu hana marafiki au ndugu wa karibuPole sana kwa yaliyokusibu, watu huwa wanasahau kuwa shida haziishagi, zipo ukisaidika leo haimaanishi ndio haitokaa itokee kwako tena. Huyo kashavunja uaminifu na sidhani kama ataweza kuujenga.
Unajua hata ukiwa mbaya kiasi gani kila mtu huwa anakuw ana watu wake wa karibu wa kwenye shida na raha yeye hakuna,nikasema huyu atakuwa na shida sana