Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Mnavyotokwa mapovu hamtaki kuombwa hela mnataka nani hasa ale hela zenu ebu acheni uchoyo unaombwa hela ya kusuka nayo unalalamika chaaa! Na mnaombwa vile hamjiongezi ni jukumu la mwanaume kuhudumia mpenzi wake
 
Beib utanipa elfu 40?? Shwaa unampaa... Siku ya 3 beib uko wapi?? Nipo kkoo..beib naomba unijie na zawadi ya gauni.[emoji3][emoji3][emoji3]

Mmekutana unasikia beib mdogo wangu ana shida na hela yupo shule kama elfu 50 unarukaaa... kesho yake anaomba hela ya mapazia na ges[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Shwain pitaa hiviiiii
 
Mnavyotokwa mapovu hamtaki kuombwa hela mnataka nani hasa ale hela zenu ebu acheni uchoyo unaombwa hela ya kusuka nayo unalalamika chaaa! Na mnaombwa vile hamjiongezi ni jukumu la mwanaume kuhudumia mpenzi wake
Hakuna mwanaume mwenye akili anahudumia malaya. Nendeni mkafanye kazi rasmi mpate pesa.
 
Hakuna mwanaume mwenye akili anahudumia malaya. Nendeni mkafanye kazi rasmi mpate pesa.
Malaya hawezi tembea na padri malaya atakuwa na malaya mwenzie...shida mnatongoza tongoza mnooo mtu umewaweka kwenye list watu 15 sasa wote hao wakikuomba si lazima uvurugwe ujikute unatema sumu jf pambana na hali yako kama mfuko umeyumba sabuni ya jamaa haifiki 1000 ukipata na babycare yako aah unabadilisha tu taste
 
Wanawake wote mnaowaona kilasiku wapo online wana comment na kulike hao ndio wasumbufu inbox humu JF...
Na wanajifanya kujichekesha ila vitaalamu vya mizinga...
 


Hapo juu umeandika jambo la muhimu sana. Wapo Wadada wanahitaji kuolewa na wanakutana na Waoaji sahihi ila hawana pesa nyingi za kuwahonga. Kwa kuona kuwa jamaa hana pesa za kumuhonga basi Mwanamke anamwacha huyo Muoaji na kwenda kutumia pesa za Wanaume wahuni wanaowahonga na kuwaacha bila kuwaoa.

Wanawake wanapaswa kuwa makini sana
 
Ni kweli Mkuu

Kwasasa Wanawake huangalia Mwanaume mwenye kipato kuweza kudate naye. Kama huna fedha, Hao Wanawake wazuri utaishia kuwaita Shemeji tu 🙆
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]heeeee father benard
 
Mkuu Lindi kubwa hii, wapi hapo nikusalimie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…