Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

🤣🤣🤣🤣mkuu Kama nawewe umeona Kama mimi sema emeeeeeeeeeeeeen
Ameeeeeeeen
😅😅😅😅😅😅

Ila wakikumata watakugombania
 
Unamtongoza mtt wa watu anakuomba pesa ww unaona ni kujizalilisha sasa ulitaka akamuombe nan

Wanaume mda wa kukaa na kulalamika ushapitwa na wakat huwezi kuonga au huwez kutoa pesa nazan itapendeza ukitafta malaya mkafanya yenu zen mkaachana

Ukitaka mtoto mzuri na utakae mcontrol lazma uhudumie na lazma uhonge
UNahudumia wenzako wanakula bure😂😂chaguo ni lako
 
Jana wana JF kadhaa wenye club yetu fulani hivi amazing tulikuwa tumekutana The Wine Coutry kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2023.

Wanawake tulikuwa wawili tu, mimi na bidada mwingine na wanaume idadi yao ilikuwa kumi na kitu.

Jamani miongoni mwa mambo ambayo wanaume wanayaona ni kero ni swala la kupiga mizinga.

Wanawake tena mmetajwa kwa majina ambao mnashinda inbox mki zingalaizi. Mara mama anaumwa, mara dada kagongwa na bodaboda, mara nitumie hela ya kusuka nywele mara sina ada ya watoto.

Jamani kwa kweli mnahoyafanya huko PM aibu nimeona mimi. Ukitongozwa ndio usiseme. Hata kama una kazi ya ajira, tena mwajiriwa wa serikali, unaomba kuanzia vocha hadi hela ya chupi.

Wewe uko Dodoma mwanaume yuko Dar hajawahi hata kukulala zaidi ya kuonana mara moja na tena ulikuwa kwenye siku zako.

Nimekutaja wewe dada wa Dodoma sababu umekuwa na tabia ya kuwatongoza wanaume na baadae unaanza kuwa kero kwao na mizinga unayowapiga.

Jamani nawakaribisha Lindi tulime ufuta mbona kilimo poa tu, unapata hela ya kukukimu na huadhiriki.

2023 tubadilikeni jamani
Kuna legend kaamua kutoa ya moyoni 🤣🤣🤣🤣🤣
 
  • Kicheko
Reactions: amu
niwatu tuflani malofa hivii hawana lolote.au kwalugha nyingine nawaita matapeli wamitandao🤣🤣kitaa Kuna pisi wao wanashinda kutongoza walimu humu🤣🤣🤣
Kuna miamba Ina matukio si mchezo😅...wakiingia jf wao ni kuwinda 24hrs
 
halafu nanyie hicho chama mlitumia vigezo gani kukiunda?🤣🤣namwaka mpya tusha shehelekea kitambo kwanini nyie mfanye Jana sherehe?navigezo vya kujiunga kwenye chama chenu nivipi?ulipata mpenzi hapo jana ambae hampigani vizinga?
 
Siungi tabia ya OmbaOmba inafedhehesha sana!

Ila nyie kikundi chenu ni wanafki tupu
Mnakutana kukaribisha mwaka kwa
kusema watu? yote mliojadili umeona hili ndio la muhimu kulileta huku?

Small mind discuss people!

Acheni maboya wapigwe hela Pm huko hakuna mbususu ya bure hata mimi nikitaka lazima nitoboke!
[emoji706]
 
niwatu tuflani malofa hivii hawana lolote.au kwalugha nyingine nawaita matapeli wamitandao[emoji1787][emoji1787]kitaa Kuna pisi wao wanashinda kutongoza walimu humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila wee ni mgomvi sanaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Iwe mwanamke au mwanaume, tabia ya kuomba omba hela kama huna mikono si nzuri.
Kwanza unajishusha hadhi yako, kijana una nguvu zako, kwanini umuombe mtu mwingine?
Umetongozwa unaanza mizinga!!! Kabla ya kukutongoza ulikuwa unaishije? akikupenda atakupa kama mpenzi wake, acheni umatonya.
Oyaa nimekupenda bure
 
Suala la Vizinga kwa Ke wengi limechangiwa na Michezo yao ya Vikoba. Na Wakati mwingine kupenda kuishi maisha ya Show Off hata kama mtu ana kipato Cha Chini.

Ke anapiga Vizinga ili Lunch akale Ramada hotel Wakati uwezo wake ni kula Shishi Food.

Mizinga imekuwa Mingi hadi Wanaume tunapoteza nguvu za Kiume [emoji22]

Mnaweza kukuta mnapoteza watu wa muhimu kwenye maisha yenu kwa kuendekeza njaa isiyoisha [emoji125][emoji125]
Hili la kupoteza marafiki muhimu ni kweli kabisa maana kuna wakati unampa thamani kubwa mwanamke lakini kadri muda unavyozidi kwenda anaanza kupiga vizinga hadi ile thamani uliyompa unaanza kuiondoa na kumtoa kwenye list ya marafiki wazuri.

Mtu unaweza kumpangia mengi mazuri mbeleni lakini upigaji wa vizinga unasababisha kumpotezea mapema kabisa.
 
Back
Top Bottom