Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
😂😂😂DuhSahihi Mkuu, na sio kwamba nafasi ya kuwasaidia hatuna, No isipokuwa vile Vizinga vya mara kwa mara ndiyo kero.
Na suala hili kadri linavyoendelea ndiyo nguvu za Kiume zinazidi kupungua.
Manake Mwanaume anakuwa stressed muda wote na ukiangalia unakuta amezama hasa kwenye Huba