Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Yaani, umenena haswa. Wanawake wamezidi. Mizinga kwa wengine ndiyo sehemu ya maisha. Huwezi kusema wanajiuza . lakini kwa mizinga hadi inakera.

Kabla ya Chrismas ilibidi nizime kabisa simu. Mwanamke hata uliyewahi kumkonyeza analeta furushi la matatizo yake.

Mwingine anataka umlale hata kwa yeye bibie kukutongoza ili apate mahali pa kuomba. Ukimtolea nje utaona tu anahmia kwa mwingine. Jana tu nimepata ujumbe , mtoto ana birthday(si wangu). Mwingine anomba hela ya kodi ya nyumba. Mwingine anaomba ada ya watoto(si wangu)

Mwingine ndo kaniudhi, kaandika "we mwanaume naomba hela nina shida"

Wanawake sijui watajikomboa lini!
Ndio huwa nawaambia, usitake hela ambayo hujaitolea jasho unless unadanga. Kudanga hakujawahi ku sustain maisha ya mwanamke. Utapata leo ,kesho uko palepale. Mwili wako halafu unataka upendezeshwe na mwanaume ambaye hata si mumeo? .
 
kuomba omba ni kujifedhehesha, ukishaona maisha yako hayaendi bila kuomba omba basi ujue ushafeli kwa asilimia kubwa sana, imagine mtu anaomba kwa watu 10 at once hata kama ni shida hapana, tabia ya hovyo mno.
Yaani hii tabia inajenga uraibu. Ni ya kukemewa kwa nguvu zote. Tunajenga kizazi gani sijui. Wengine wameolewa lakini kutwa vizinga. Ridhika na ulicho nacho, kuombaomba hakujawahi kumuacha mtu salama.
 
Jamani Naz naomba uguse na wale wanaume wapiga mizinga

Oooh ni assist na laki 2 hornet kuna deal nafanya nakurudishia siku mbili hizi hizi

[emoji706][emoji706]
Wapo kibao tu. Kuna wa 2 , mmoja ni Me hata sio mpenzi wangu ni rafiki tu wa kawaida. Alikuwa na shida mtoto wake kasimamishwa shule. Kaniomba na kuniambia mwisho wa mwezi nakurudishia, loh kaniblock na namba yangu. Nikauandikia bonge la sms kuwa sitakuuliza kuhusu hiyo hela , kama unaona ni haki yangu unatanipa kama sio utaacha kunilipa. Sitamuuliza tena. Mwingine mwanamke , naye kachikichia. Ila tunajifunza kupitia wao. Wabongo wengi sio waaminifu. Mtu anakuja kwa stail ya kukopa kumbe nia yake ni kupiga kizinga
 
Nashkuru sana

Ngoja Sasa nikalime shamba maana ndio kazi zetu huku kijijini.

Have a beautiful morning.
Karibu 😊😊

Ukawe na palizi njema🥰🥰
Asante na kwako pia
 
Ata sie wanaume tusio tall dark and handsome tunateseka sana, kupata mbususu mpaka hela iwepo lakini hawa tdh wanapewa tuu mbususu kiulaini. So hilo ndio life.
Tunateseka sana yani.hivi hakuna Dawa ya kuongeza urefu kw wanaume?
 
Ndio huwa nawaambia, usitake hela ambayo hujaitolea jasho unless unadanga. Kudanga hakujawahi ku sustain maisha ya mwanamke. Utapata leo ,kesho uko palepale. Mwili wako halafu unataka upendezeshwe na mwanaume ambaye hata si mumeo? .
Ukweli mchungu
 
Badilikeni. Baada ya mimi kutoa uzi wa kuzinguana na mke wangu, kuna dada alinifuata PM kwamba ananionea huruma sana kwa hali ninayopitia.

Tukazoeana zoeana baadae akasema ninamvutia kwa ile profile picture yangu ya WhatsApp kwa hiyo kama vipi niwe naye, nikaona poa tu, aisee

Demu anapiga mizinga kichizi. Halafu akiomba vocha, ukimtumia voda ya buku 2 anakutukana, eti mi unanionaje? Mimi vocha ya buku 2 ya nini.
Dunia yetu ya sasa nkiona kjana mwenzangu anajisifia yeye hendisamu nafurahiiiii hongereni wanawake #Tutumie akilii
 
Wapo kibao tu. Kuna wa 2 , mmoja ni Me hata sio mpenzi wangu ni rafiki tu wa kawaida. Alikuwa na shida mtoto wake kasimamishwa shule. Kaniomba na kuniambia mwisho wa mwezi nakurudishia, loh kaniblock na namba yangu. Nikauandikia bonge la sms kuwa sitakuuliza kuhusu hiyo hela , kama unaona ni haki yangu unatanipa kama sio utaacha kunilipa. Sitamuuliza tena. Mwingine mwanamke , naye kachikichia. Ila tunajifunza kupitia wao. Wabongo wengi sio waaminifu. Mtu anakuja kwa stail ya kukopa kumbe nia yake ni kupiga kizinga
Ni huzuni kwakweli
 
Back
Top Bottom