Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Akisema nitag DSubiri aje aseme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akisema nitag DSubiri aje aseme
Aisee…wanatokeaga sayari ipi mjomba?Bill Lugano anahonga malls, anakujengea bonge la shopping centre
Napenda tv za chogo.Umeuliza kwa uchungu sana.
Ehee ndugu yangu ni ki hisense tv ndugu yangu.kidonchooooo
Unaotuambia tuwape hela sisi siyo wananchi wa hiyo nchi ombaomba?Ila nchi yenyewe omba omba unategemea wananchi tuweje! Mtupe tu hizo hela😂
Usiulize wanatokea sayari ipi, jiulize wewe nyota yako imefichwa sayari ipi hadi hukutani na watu sahihi?Aisee…wanatokeaga sayari ipi mjomba?
Kuna mmoja tena mwanaume aliniomba 20k, nikamuambia nina bustani yangu kama uko tayari uje unisafishie utapata hiyo hela. Hakuna vya bure. Hakunijibu tenaAkikuomba pesa na wewe omba kikojoleo mbona simple tu
Kuomba omba kunamfanya mtu awe rahisi hata kurubuniwa, unatengeneza mazingira ya kuwa mtumwa kwa unaowaomba.Yaani hii tabia inajenga uraibu. Ni ya kukemewa kwa nguvu zote. Tunajenga kizazi gani sijui. Wengine wameolewa lakini kutwa vizinga. Ridhika na ulicho nacho, kuombaomba hakujawahi kumuacha mtu salama.
Dah🥺🥺🥺Unaona ulivyoanza ubaguzi ndugu yangu…..hii tv ya chogo Sijui nitaipata lini huko uturuki🥺Napenda tv za chogo.
Mbona komenti zako zipo kama haumiliki hisense tv
Ni kweli.Kuomba omba kunamfanya mtu awe rahisi hata kurubuniwa, unatengeneza mazingira ya kuwa mtumwa kwa unaowaomba.
Hii comment yako ili uielewe ni lazima uingalie kwa jicho la tatu🤛🤛Kuomba omba kunamfanya mtu awe rahisi hata kurubuniwa, unatengeneza mazingira ya kuwa mtumwa kwa unaowaomba.
Hahahah.Hii comment yako ili uielewe ni lazima uingalie kwa jicho la tatu🤛🤛
Hili nalo neno.Usiulize wanatokea sayari ipi, jiulize wewe nyota yako imefichwa sayari ipi hadi hukutani na watu sahihi?
Unaweza ukajikuta sasa unavutia waganga wenzangu kama Mshana Jr na Herbalist Dr MziziMkavuHili nalo neno.
Ngoja nijichange niende uturuki nikavute room Kwa nyuma ili nikivaa gauli lionekane nyuma ni wapi na mbele ni wapi..na hapo ndipo nyota itakapochomokea
sio ubaguzi ndio ukweli tv ya chogo la kawaida.Dah🥺🥺🥺Unaona ulivyoanza ubaguzi ndugu yangu…..hii tv ya chogo Sijui nitaipata lini huko uturuki🥺
Namiliki kismart Hisense ndugu yangu
Ajabu iliyojee hapooo, wanaume km mabinti. LolWambea sana halafu wengi ni wanaume
Hata ukiwa na Laser Tv ,ghorofani uko vizuri sana unawafunika hata wenye 📺Dah🥺🥺🥺Unaona ulivyoanza ubaguzi ndugu yangu…..hii tv ya chogo Sijui nitaipata lini huko uturuki🥺
Namiliki kismart Hisense ndugu yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaaa!!!!sema mtandao huu una vinyau vingi acha viliwe.sasa kimtu unakihonga elf 50 kinakubali[emoji1787][emoji1787]ngoja viliwe.ila pointi yangu nikwambaa ukiona unakula demu humu usijisifie Mana nitakataka sura zenyewe mbovu.
[emoji1787][emoji1787]Kuna uzi wanarushiana picha zao niliuona juzi aisee mademu wanao rusha picha zao niwabovu hatariii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]halafu unakuta wenyewe wanna sifiana like...waooooo mswetiiii umependeza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila kusema ukweli niwabovu [emoji1787]ila wenye ugumu wanaishi nao nakuhonga wanna honga...
Hahah hahah mmekula simango la kufa mtuKwahiyo mmeunda club ili kutudiscuss?. Sijapenda