Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Ni sawa wadada si wana hati miliki na pesa za mwanaume maana wanaona ni zao
 
Yaani hii tabia inajenga uraibu. Ni ya kukemewa kwa nguvu zote. Tunajenga kizazi gani sijui. Wengine wameolewa lakini kutwa vizinga. Ridhika na ulicho nacho, kuombaomba hakujawahi kumuacha mtu salama.
Kuomba omba kunamfanya mtu awe rahisi hata kurubuniwa, unatengeneza mazingira ya kuwa mtumwa kwa unaowaomba.
 
sema mtandao huu una vinyau vingi acha viliwe.sasa kimtu unakihonga elf 50 kinakubali[emoji1787][emoji1787]ngoja viliwe.ila pointi yangu nikwambaa ukiona unakula demu humu usijisifie Mana nitakataka sura zenyewe mbovu.

[emoji1787][emoji1787]Kuna uzi wanarushiana picha zao niliuona juzi aisee mademu wanao rusha picha zao niwabovu hatariii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]halafu unakuta wenyewe wanna sifiana like...waooooo mswetiiii umependeza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila kusema ukweli niwabovu [emoji1787]ila wenye ugumu wanaishi nao nakuhonga wanna honga...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaaa!!!!
 
Back
Top Bottom