Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

True, utakuwa umehusika parefu. Moyo wangu ulishaingia baridi juu yake na maisha yake. Nilikuwa nimemfuta kabisa, wewe ndio umemfufua
Ninashukuru kama nimefanyika Baraka Kwa huyo dada Kwa namna moja au nyingine👏👏

Kama moyo ulishakufa ganzi na sasa hivi mimi ndie ninaeuondoa baridi…basi mkuu kuna mafanikio mengi yanakuja juu yako..mimi ni daraja tu lakini ninaimani kuna sehemu unatakiwa kufika.

Have my words buji…zile deals zako(sizijui ila ninaimani unazo)basi zitakwenda kufanikiwa Kwa namna ya ajabu kabisa usiyodhani utakuja kuleta mrejesho siku moja.niamini.fanya Kwa ajili ya wapendwa wako na watoto wako.

Mungu akutangulie sana usikate tamaa hata kama utakutana na changamoto.

Si ndio ee😊😊
 
Kapeace niambie unatumia mtandao gani hata usiponitajia namba yako ya simu. Roho yangu itulie 😂😂😂😂
 
Ila twendeni mbele turudi nyuma hivi vicoba ni janga kubwa kwa wamama na wadada kwakweli...mtu unakuta anadaiwa vicoba hata 5 huko na hana hela..hata kama anafanya kazi still haitoshi maana anakopa hafanyii lolote hela inaishia kwenye kujipamba na show off mjini...mijikoba miiingi ili muwe mnaonekana mkivunja na sare zenu mwisho wa siku ni kujidhaliisha na kujivua utu.

Basi uwe na mume basi atakaekusitiri ila ndo kazi kuomba wanaume za watu..hapa naongelea kuomba mwanaume asiekuhusu ambae hamna makubaliano nae umejuana nae juzi tuu then unaanza kuomba hela he is not ur boyfriend au husband... sasa ndo ukutane na wanaume wale wenye stress za maisha utafunguliwa nyuzi mia...so wadada kwani ni lazima ujiunge na vicoba? Na ni lazima uende na fashion au na ww uonekane wa mjini kwa hela za watu?

Kuna siku mdada mmoja mtaani kaja kuniomba elfu 2 just elfu 2 akajazie anadaiwa kikoba sikuamini aisee nilimwangalia nikamshangaa japo nilimpa niliona aibu..mwisho wa siku kumbe yule mdada ana vikoba kama vyote alikuja kukimbia mji...nasikia alirudi kijijini kwao kaacha watoto kisa madeni
Ila kama nyie wa JF mnaenda Pm kuomba nyapu mtapigwa sana vizinga...
 
Ila twendeni mbele turudi nyuma hivi vicoba ni janga kubwa kwa wamama na wadada kwakweli...mtu unakuta anadaiwa vicoba hata 5 huko na hana hela..hata kama anafanya kazi still haitoshi maana anakopa hafanyii lolote hela inaishia kwenye kujipamba na show off mjini...
Mimi ndio maana huwa siamini katika vicoba.
Najijua siyo risk taker kabisa..na siwezagi kudai pesa.
Ni heri nikaweke hela bank ikae tu kuliko kuweka kwenye vicoba ambapo mwisho wa siku huwa ni usumbufu wa marejesho na kutapeliana

Kuna mwenzangu mmoja last week ananiomba nimkopee 200k akarejeshe kwenye kicoba.
Kwa kweli sikuweza kumpa.

Yaani mtu unajua huna uwezo wa kurejesha,unacheza vya nini?
Kujiingiza kwenye madeni bure.
 
Sisi kama watu wa Dom,hatutakubali kuchafuliwa.
Anayehusika atajwe.
Ohooooo ili iweje mhusika ameshaona na kusikia kwamba mizinga sio ishu inaondoa utu wake. Asitajwe haya madongo yashamsuta na imani atajirekebisha lakini kutoa nayo ni ibada
 
Ninashukuru kama nimefanyika Baraka Kwa huyo dada Kwa namna moja au nyingine👏👏

Kama moyo ulishakufa ganzi na sasa hivi mimi ndie ninaeuondoa baridi…basi mkuu kuna mafanikio mengi yanakuja juu yako..mimi ni daraja tu lakini ninaimani kuna sehemu unatakiwa kufika.

Have my words buji…zile deals zako(sizijui ila ninaimani unazo)basi zitakwenda kufanikiwa Kwa namna ya ajabu kabisa usiyodhani utakuja kuleta mrejesho siku moja.niamini.fanya Kwa ajili ya wapendwa wako na watoto wako.

Mungu akutangulie sana usikate tamaa hata kama utakutana na changamoto.

Si ndio ee😊😊
Amina. Nina screenshot utabiri wako, nina u print na kuufanyia lamination kabisa. Nitaubandika chumbani niwe nafanya affirmation kila siku hadi utimie
 
Mimi ndio maana huwa siamini katika vicoba.
Siyo risk taker kabisa.
Ni heri nikaweke hela bank ikae tu kuliko kuweka kwenye vicoba ambapo mwisho wa siku huwa ni usumbufu wa marejesho na kutapeliana

Kuna mwenzangu mmoja last week ananiomba nimkopee 200k akarejeshe kwenye kicoba.
Kwa kweli sikuweza kumpa.

Yaani mtu unajua huna uwezo wa kurejesha,unacheza vya nini?
Kujiingiza kwenye madeni bure.
Na ujinga wa vicoba ndo huo yani unakopa huku urudishe huku wamama wanahaha tena ukute mtu mzima utamuone huruma...yani hautakaa ukae kwa uhuru..mtu anakukopa let say laki anaenda kuirudisha kikoba A anakopa tena anaenda kurudisha kikoba B ni utumwa
 
Mimi ndio maana huwa siamini katika vicoba.
Najijua siyo risk taker kabisa..na siwezagi kudai pesa.
Ni heri nikaweke hela bank ikae tu kuliko kuweka kwenye vicoba ambapo mwisho wa siku huwa ni usumbufu wa marejesho na kutapeliana

Kuna mwenzangu mmoja last week ananiomba nimkopee 200k akarejeshe kwenye kicoba.
Kwa kweli sikuweza kumpa.

Yaani mtu unajua huna uwezo wa kurejesha,unacheza vya nini?
Kujiingiza kwenye madeni bure.
Kuna kampuni nikiwa mgeni wakaniambia niingie vicoba, nikaishia kudhulumiwa. Vikoba nitacheza vya peke yangu
 
Ila twendeni mbele turudi nyuma hivi vicoba ni janga kubwa kwa wamama na wadada kwakweli...mtu unakuta anadaiwa vicoba hata 5 huko na hana hela..hata kama anafanya kazi still haitoshi maana anakopa hafanyii lolote hela inaishia kwenye kujipamba na show off mjini..
Wanawake wanajijuta hata wanabebeshwa mimba za wanaume wasiowataka kisa vicoba. Wengine ndio hata wameambukizwa kaswende na kisonono
 
Wanawake wanajijuta hata wanabebeshwa mimba za wanaume wasiowataka kisa vicoba. Wengine ndio hata wameambukizwa kaswende na kisonono
Hatari sana kaka..mume anaejielewa hawezi kukuruhusu uingie kwny vikoba..at least uwe na chama chako kimoja cha ujirani labda na cha kazini baaasiii...ila hivyo vikoba vya Riba mara kugonga hisa hapana..
 
Back
Top Bottom