Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Ninashukuru kama nimefanyika Baraka Kwa huyo dada Kwa namna moja au nyingine👏👏True, utakuwa umehusika parefu. Moyo wangu ulishaingia baridi juu yake na maisha yake. Nilikuwa nimemfuta kabisa, wewe ndio umemfufua
Kama moyo ulishakufa ganzi na sasa hivi mimi ndie ninaeuondoa baridi…basi mkuu kuna mafanikio mengi yanakuja juu yako..mimi ni daraja tu lakini ninaimani kuna sehemu unatakiwa kufika.
Have my words buji…zile deals zako(sizijui ila ninaimani unazo)basi zitakwenda kufanikiwa Kwa namna ya ajabu kabisa usiyodhani utakuja kuleta mrejesho siku moja.niamini.fanya Kwa ajili ya wapendwa wako na watoto wako.
Mungu akutangulie sana usikate tamaa hata kama utakutana na changamoto.
Si ndio ee😊😊