Wadada vaeni chupi zenye mvuto!

Wadada vaeni chupi zenye mvuto!

Dadeq inaonekana we ni mzinzi Sana,,, acha Mara moja oa mke mmoja,,,usiwadhalilishe wakianza kututapikia yetu hapa tutakimbiana

Pia kumbuka ukimwi unaua,,na ukijikinga ukimwi jikinge na ulimi Pia hepatitis inaua pia
 
SIKU NILIPOKOMA UZINZI

Niliingia na demu flan iv gest ,wakuu nilikutana na chupi hioo......, kaniki sio kaniki, dela sio dela, makirikiri sio makirikiri, Dushe nililala fasta ndo nikajua kweli mwili una hisia, Nilizuga naenda Kununua Salama so ikabd niache viatu vyangu, nilishtukia nje nimevaa kandambili badili, nilivyofka reception nikawaambia jmn chukuen buku ya kandambili zenu hizi, mm Uzinzi basi walicheka sana wale wadada, nikakodi boda boda akaniuliza broo unaelekea wap sasa? mana aliona mguuni alikua anajifcha kucheka asijekujiharibia kaz, nikamwambia wewe twende tuu popote, Asivyo na huruma akaenda kuniacha stend na mm akili si haikua vzr nikakubali, Nilikua nimeuramba Mkanda nje full kupendeza, Ilikua aibu kinyamaa kwa ufupi ubrazamen uliisha ghafla nikajitia sijali chochote ili kdg kupunguza tension kwa watu, kufika home ili kukwepa aibu kwa masister na wazazi niliruka ukuta nikapitia dirishani ule usiku siku lala.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
MAAJABU


Unakuta mwingne kavaa bukta ila chupi ndo kubwaa, imening'inia mpk nje ka tambala la kudekia
 
1dea8968b43b8ef978016e693cf57346.jpg
Yaan kuna maumbile mengne kumaintain usafi 24/7 hrs n kaz kweli kweli, huyu labda atembee na ndoo, watu km hawa uwe unawavumilia tuu mkuu km roho imependa
 
Yaan kuna maumbile mengne kumaintain 24/7 hrs n kaz kweli kweli, huyu labda atembee na ndoo, watu km hawa uwe unawavumilia tuu mkuu km roho imependa
[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Unakutana na Chupi inatema, yaan km kuna chemba ya choo karibu unaona bora ugeuzie Pua kwenye chemba ipunge hewa kdg, maana mpk nzi wanapiga chafya na kukimbia kuogopa kupata kipindu pindu.
 
Hivyo vya laki moja au laki 3 wanaovaa inawezekana wakawa hawafiki hata 40 humu jukwaani...

Acha kujikweza..[emoji151] [emoji149]
Mkuu bei ya sembe huku kwetu Bukyanagandi ni sh 2000 af unanambia et nimnunulie manzi chupi ya laki [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] labda ndotoni
 
Mkuu bei ya sembe huku kwetu Bukyanagandi ni sh 2000 af unanambia et nimnunulie manzi chupi ya laki [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] labda ndotoni
Unachukua mshahara wa Mwezi wa mlinzi (45x2) plus mkopo 10,000 unampa bebi akanunue chupi apendeze[emoji1] [emoji1] [emoji12]
 
Back
Top Bottom