Yaan unakuta mkaka smart kabisaa, ila akiongea sasa km chemba ya choo imezibuka ghaflaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii mada ya midomo
ndio mada ya kunuka midomo atairepresentt dada kubwa To yeye
Mmeanza 😊🥴🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hii mada ya midomo
ndio mada ya kunuka midomo atairepresentt dada kubwa To yeye
Kuna kipindi nilikuaga navaa sana viatu miguu yangu ikawa nyororo sana siku ya siku nikaenda kucheza mpira (Ndondo) ule wa peku peku....Kwa kweli miguu ikisuguliwa kila unapoingia kuoga miguu itakuwa na Hali nzuri sana
🤣🤣🤣🤣Hawajakuita mtoto wa mama kweli?Kuna kipindi nilikuaga navaa sana viatu miguu yangu ikawa nyororo sana siku ya siku nikaenda kucheza mpira (Ndondo) ule wa peku peku....
Yaan kuna jamaa mmoja wa timu pinzani tulipo kua tunakabiliana alinichana Kwa miguu yake kama kiwembe au kisu 😊🤓
Ma baeby wa humu si wote ni wasafi sana.
Duuh
Where are we heading as a nation
Bullying ur fellow woman is not accepted
Whatever the situation is is there own life jamani
But eniwei i come with peace
Hakuna nikipata babe humu namnunulia chap.Kwani baby wako nae ni wa humu?
Mnunulie hata mwanamke yoyote unaemuappriciate
Weka pichaMambo zenu jamani.
Nimeona tukumbushane tu madiva wa Dslam kuhusu Visigino vyetu jamani. Sio Siri Dar panaongoza wadada kuwa na miguu michafu yaani hadi unashangaa huyu katoka kwenye vanga wapi? hii yote ni sababu ya kusingizia joto na kuendekeza hivi visendo vya kichina .Yaani mtu muda wote hana usafi, unakutana na dada mzuri kavaa nguo yake nzuri ukimuangalia chini anakukata stimu kabisa.
Jamani hebu tusugueni hivyo visigino, yaani mtu kisigino hakieleweki, cheusi utasema alikuwa anasigina masizi[emoji849]. Huyu mchina asitudanganye na slipper zake, na vile sasa katoa hizo kopi za Tommy Hilfiger basi yamefika wa wadada wa Dar es salaam, hebu tuwe tunavaa na viatu siku moja moja tutunze miguu hiyo. Hivi mbona Mbeya na Arusha wasafi tu wenzetu.
Unaajita Diva na kisigino kichafu wapi na wapi! Tubadilike.
Wee hatuwazidi wa Mbeya,sie vichipsi mayai vyetu hata haushibi wenzetu Mbeya wanakula Chipsi na mboga za majani na parachichi na ndizi moja ofa!
Kila mtu abaki na experience yakeWee hatuwazidi wa Mbeya,sie vichipsi mayai vyetu hata haushibi wenzetu Mbeya wanakula Chipsi na mboga za majani na parachichi na ndizi moja ofa!