Wadada wa Dar na Visigino vyao

Wadada wa Dar na Visigino vyao

😀😀😀😀😀😀😀 imebidi nijiangalie kabla sijacomment,

Mimi binafsi viatu navaa nikiwa naenda interview 😀, kanisani au shereheni kidogo na date huko kwingine woooi ni visendo tu 😆😆😆😆😃 ila miguu yangu misafi naitreat inavyopaswa
Kame ni wewe hapo kwa picha hiyo yako misafi,...
 
Halafu ukute sasa kafika mahali kakaa,na mbele yake kuna kistuli,anavua vile visendo anaweka miguu yake juu ya kile kistuli huku kakunja nne,yani hapa aibu unaona wewe,unachofanya unakuja kukaa karibu nae ili usiwe unaangalia ile miguu kule chini...
 
Nahisi nilishawahi kuandika hili pia
Kama siyo huku sijui nj wapi unamkuta mdada mrembo usoni ila miguu Jamani[emoji119]
Kuna na hivi Vipako wanapaka miguuni Kama ndizi choma
Yaani my wangu hapa wadada wajiangalie Aisee!halafu Kuna vipako vinaletaga rangi Kama wamepaka Hina kisigino 🙄🙄🙄🙄
 
IMG_1258.jpg
 
😀😀😀😀😀😀😀 imebidi nijiangalie kabla sijacomment,

Mimi binafsi viatu navaa nikiwa naenda interview 😀, kanisani au shereheni kidogo na date huko kwingine woooi ni visendo tu 😆😆😆😆😃 ila miguu yangu misafi naitreat inavyopaswa
Hebu picha tuone kama ni kweli
 
Halafu ukute sasa kafika mahali kakaa mbeleyake kuna kistuli,anavua vile visendo anaweka mguu wake juu ya kile kistuli huku kakunja nne,yani hapa aibu unaona wewe,unachofanya unakuja kukaa karibu nae ili usiwe unaangalia ile miguu kule chini...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ina maana yeye anakuwa hajui Kama kachafua Hali y hewa?
 
Back
Top Bottom