Wadada wa JamiiForums naomba mpokee maua yenu

Wadada wa JamiiForums naomba mpokee maua yenu

Jf haina wanawake mkuu, believe me ni madume tu walioamua kuturidhisha vidume wenzao
Wapo Ila sijajua kwa wingi gani Ila Kuna mmoja tulimpa lifti from chamazi to town.

Nikachungulia simu yake anasoma news jamii forums tulikua tumekaa siti za nyuma nikawa curious kumuuliza..na kweli Nika mfanyia mahojiano

Akasema yeye hayupo fb, TikTok,insta, x Ila yupo Sana JF akasema yeye anapenda kusoma news mbali mbali tukatajiana majina ya some members genta,mshana, buji buji, gwajima D, mzabzab, rickboy e.t.c

Akasema yeye ni msomaji zaidi sio mwandikaji...Mimi pia zamani sikua mchangiaji nilikua msomaji zaidi..

So wapo hata 200 na zaidi wengi sio waandikaji ni wasomaji zaidi
 
Basi wengi ni wale wenye characters za kiume mkuu, mwanamke kuacha tiktok, fb, insta kuja jf ni ngumu sana, pia anakuwa na elimu ya kujitambua sana(msomi)

Mwanamke wa kawaida hawezi kuacha kujisnap aje jf kuitana mkuu, kiongozi, bro
 
Nilianza kwa kuwa guest., hii ni baada ya kipindi cha likizo/weekend kutumia muda mwingi kuangalia tamthilia, na kuchezea simu ya mama jambo hili halikumpendeza mzee wangu..akawa ananiambia kwa namna ya kunitia msisitizo"wewe mwaka kesho unaingia form four badala utumie simu kujifunza ww unacheza game na kuangalia vitu visivyoeleweka" hii kauli alikuwa akinambia mara kwa mara.
Siku moja nkamuuliza vitu vya kueleweka viko wapi sasa (tena kwa jazba kidogo maana zile kauli zake nilikuwa nshazichoka)..ndo akanambia si una google google ina kila kitu(na kipindi hicho nilikuwa natumia sim ya mama kuangalia vitu youtube kama miziki na comedy enzi hizo ebitoke ndo anatrend na mjeshi )
Ndo akanambia kuna platform ya JF kuna kuna jukwaa la greater thinker kule kuna madini ya kutosha watu wanajadili vitu kwa hoja..(sikumtilia maanani)
Nikaanza ku google vitu vyangu hasa vya darasani nikawa naletewa, nikasema woow asante dady..nikaanza kuona umuhimu wa maneno ya mzee!
Niliendelea hivi hivo ku google vitu vya darasani hasa mambo ya science (nilikuwa napenda biology na chemia)
Sasa wakati nkiendelea ku googel nikawa naletewa mada ambazo zimeshajadiliwa jamii forum hasa kwenye jukwaa la greater thinker na nikawa napendezwa na hoja za members
TO cut long story short... nilivomaliza four nikajiunga rasmu jf baada ya kuwa guest wa muda mrefu nilijiunga baada ya kutamani kuchangia nyuzi mbali mbali ...nilivomaliza advance form six nikakuta simu ya mama imeharibika na nilikuwa sikumbuki hata nywila..basi nikawa nimerudi tena kuwa guest tu
Then nikawa busy na chuo nilivomaliza chuo nkajiunga kwa mara nyingine tena rasmi ndo nipo mpaka sasa.
 
Kwani jf ina maajabu gani?
Halafu pia inategemea na choice ya mtu..mimi binafsi sio mpenzi wa tiktok wala sina account huko
Kwahiyo nitakuwepo jf kusoma na kufurahia post za humu...au mlitaka muwe wanaume wenyewe?
Mngetongozana je sasa 🤣
 
Ndo hivo mkuu, lakin kwa akili ya kawaida tu hata kama hakuna wanawake mtaani kwako, unawezaje kutongoza kitu ambacho hujawahi hata kukiona?
Nyie watu nawashangaa sana! Umuhimu wa mwanamke ni K yake. After all mkidinyana huwa Taa zinazimwa. Sura ya nini na wakati K ina sura mbaya. La muhimu ni K yake si sura
 
Back
Top Bottom