min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Sawa the mafiaNikusaidie wanawake waliopo Twitter ndio waliopo JF…..!!
Halafu hakuna cha ajabu mwanamke kuwa huku, kingine ukitaka kumjua mwanamke wewe fatilia michango yake, kuna vitu atashindwa kujadili km mwanamke lazima ataonyesha uhalisia wake sababu anaigiza..!!
Atajifanya mwanamke kwa muda mbele huko atajionyesha tu yeye ni nani?