Wadada wa JamiiForums naomba mpokee maua yenu

Jf nachoamini wadada wa humu wapo vizuri Ata kama wana mapungufu yao,

Inshort mtu yoyote aliyepo JF ni mtu wa maana kabsa, maana huku hakuna upumbafu kama platform zingine pia majukwaa ya jf yako Mengi unaweza changia mada kulingana na uwezo wa kuchakata upo wapy aidha siasa, biashara, MMU, great thinkers and so on

Ila kuna huyu cocastic nahisi ndo zile friji za mchina gesi shwa fasta😅akicheka tu kanya
 
Ukitaka kujua JF ina watu weledi sana we jaribu kufungua forum zingine mfano mambo ya siasa,historia.
Humu kuna wabunge,mawaziri,wakuu wa vyombo vya usalama,vijana wadogo wazee wastaafu.

Ukitaka ku prove we angalia chini baadhi ya signatures zao zenye maneno ya hekima pamoja na kwamba wanaficha ID zao angalia chini

Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action

Sio kila mwenye Taarifa ana Maarifa na Wala si kila mwenye Maarifa ana Taarifa.Kupata Maarifa lazima uwe na Taarifa na kupata Taarifa lazima Uwe na Maarifa.Kujua kuwa hujui ndio kujua kwenyewe.

"One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato

"IF YOUR LEGS CAN'T TAKE YOU TO PRAYER,THEN HOW DO YOU EXPECT THEM TO CARRY YOU TO PARADISE??"
Kama mtaani kwenu hakuna mwendawazimu. jichunguze sana, yawezekana ukawa ni wewe.

Miafrika Ndivyo Tulivyo.

Exploration of reality

Katika mipango yako,usisahau kifo

Hating gets you no where, have a safe trip!

Fortitudine Vincimus

.........not all chemicals are bad. Without chemicals such as hydrogen and oxygen, for example, there would be no way to make water, a vital ingredient in beer....

.........he was a wise man who invented beer...

.........you can't drink all day if you don't start in the morning

Fundi Utumbo

"WAKATI SASA UMEFIKA,WA MITI KUSEMA,MAWE KUJIBU NA WANYAMA KUWA WATU"

Uadilifu Kiwe Kigezo Muhimu Zaidi Kuwa Kiongozi Tanzania Kwa Sasa!

As long as I am leader, Our position is not going to change from that of our forefathers. I do not want the responsibility for selling the rights of our children yet unborn

Just because you are doing something different, it doesnt mean that you are doing anything wrong.

Kindness is the language which the deaf can hear and the blind can see - Mark Twain
CCM is enemy of GOD

A Struggle Without Casualties is No Struggle-Steve Biko

Akinyamaza wa Kusema atasema wa Kunyamaza

I assume full responsibility for my actions, except the ones that are someone else's fault.

"Samaki haliwi kwa kijiko"

Ab actu ad posse valet illatio
(from what has happened we may infer what will happen)

No Wicked Heart Shall Prosper

"One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato

Utamu wa Chips Mimba

"No matter how far down the wrong road you've gone,TURN BACK"

SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA:ballchain:

Yes, I am flawed.

Being a boss isn't a job, it's a lifestyle"

he Unexamined Life is not Worth Living....
********************
'The only thing new in the world is the history you do not know.'

One definition of insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results.​

Kunenepa wakati nakudai ni dalili ya dharau.
Eagles fly Alone and at High Altitudes.

Maybe we should underpaid politicians and overpaid teachers, then they would be smarter people and less stupid laws...🤗🤗

KAZI NDIO MSINGI WA MAENDELEO. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUENDELEA KWA MSINGI WA FEDHA. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUJITAWALA KAMA INATEGEMEA MSAADA KUTOKA NCHI ZA NJE- J. K. NYERERE

We Become What We Think About.

If we can conquer space, we can conquer childhood hunger.

ujinga ni kusema wengine ni wajinga

“I am not afraid of storms, for I am learning how to sail my ship.”

I am only responsible for what i say not for what you understand.

MATATIZO NI KAMA MAKALIO, MENGINE MAKUBWA MENGINE MADOGO LAKINI HAKUNA AMBAYE HANA.

"Change will not come if we wait for some other person, or if we wait for some other time. We are the ones we've been waiting for. We are the change that we seek."

The Darker the Berry the Sweeter The Juice
The more rooten the vine is the better the wine

“Mtu mwenye mafanikio ni yule anayeweza kujenga msingi imara kwa kutumia matofali yaliyotupwa na wengine.”

“Fursa zina aibu, zinakusubiri uzikimbilie.”

While seeking revenge, dig two graves - one for yourself.

if you wake up without a goal, go back to sleep…

We can easily forgive a child who is afraid of the dark; the real tragedy of life is when men are afraid of the light." - Plato.

When you are dead, you do not know you are dead. It's only painful & difficult for others. The same applies when you are stupid
 
Same personal ni Jf na Netflix

Instagram, tiktok, snapchat nikishapost biashara natoka ndukii

Ila JF nayo imepooza nowdays.

By the way long time, are you good?
Angel Nylon
I'm good, thanks. Kweli JF imepooza hasa.
Naona hata members wengi waliokuwa hot kwenye majukwaa tofauti pia hawaonekani. Enzi zile tukikesha na habari za JF hususan siasa.
Gone are the days wanasema wenyewe. Siku hizi utoto mwingi sana
 
Ukitaka kujua JF ina watu weledi sana we jaribu kufungua forum zingine mfano mambo ya siasa,historia.
Humu kuna wabunge,mawaziri,wakuu wa vyombo vya usalama,vijana wadogo wazee wastaafu.

Ukitaka ku prove we angalia chini baadhi ya signatures zao zenye maneno ya hekima pamoja na kwamba wanaficha ID zao angalia chini

Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action

Sio kila mwenye Taarifa ana Maarifa na Wala si kila mwenye Maarifa ana Taarifa.Kupata Maarifa lazima uwe na Taarifa na kupata Taarifa lazima Uwe na Maarifa.Kujua kuwa hujui ndio kujua kwenyewe.

"One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato

"IF YOUR LEGS CAN'T TAKE YOU TO PRAYER,THEN HOW DO YOU EXPECT THEM TO CARRY YOU TO PARADISE??"
Kama mtaani kwenu hakuna mwendawazimu. jichunguze sana, yawezekana ukawa ni wewe.

Miafrika Ndivyo Tulivyo.

Exploration of reality

Katika mipango yako,usisahau kifo

Hating gets you no where, have a safe trip!

Fortitudine Vincimus

.........not all chemicals are bad. Without chemicals such as hydrogen and oxygen, for example, there would be no way to make water, a vital ingredient in beer....

.........he was a wise man who invented beer...

.........you can't drink all day if you don't start in the morning

Fundi Utumbo

"WAKATI SASA UMEFIKA,WA MITI KUSEMA,MAWE KUJIBU NA WANYAMA KUWA WATU"

Uadilifu Kiwe Kigezo Muhimu Zaidi Kuwa Kiongozi Tanzania Kwa Sasa!

As long as I am leader, Our position is not going to change from that of our forefathers. I do not want the responsibility for selling the rights of our children yet unborn

Just because you are doing something different, it doesnt mean that you are doing anything wrong.

Kindness is the language which the deaf can hear and the blind can see - Mark Twain
CCM is enemy of GOD

A Struggle Without Casualties is No Struggle-Steve Biko

Akinyamaza wa Kusema atasema wa Kunyamaza

I assume full responsibility for my actions, except the ones that are someone else's fault.

"Samaki haliwi kwa kijiko"

Ab actu ad posse valet illatio (from what has happened we may infer what will happen)

No Wicked Heart Shall Prosper

"One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato

Utamu wa Chips Mimba

"No matter how far down the wrong road you've gone,TURN BACK"

SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA:ballchain:

Yes, I am flawed.

Being a boss isn't a job, it's a lifestyle"

he Unexamined Life is not Worth Living....
********************
'The only thing new in the world is the history you do not know.'

One definition of insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results.​

Kunenepa wakati nakudai ni dalili ya dharau.
Eagles fly Alone and at High Altitudes.

Maybe we should underpaid politicians and overpaid teachers, then they would be smarter people and less stupid laws...🤗🤗

KAZI NDIO MSINGI WA MAENDELEO. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUENDELEA KWA MSINGI WA FEDHA. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUJITAWALA KAMA INATEGEMEA MSAADA KUTOKA NCHI ZA NJE- J. K. NYERERE

We Become What We Think About.

If we can conquer space, we can conquer childhood hunger.

ujinga ni kusema wengine ni wajinga

“I am not afraid of storms, for I am learning how to sail my ship.”

I am only responsible for what i say not for what you understand.

MATATIZO NI KAMA MAKALIO, MENGINE MAKUBWA MENGINE MADOGO LAKINI HAKUNA AMBAYE HANA.

"Change will not come if we wait for some other person, or if we wait for some other time. We are the ones we've been waiting for. We are the change that we seek."

The Darker the Berry the Sweeter The Juice
The more rooten the vine is the better the wine

“Mtu mwenye mafanikio ni yule anayeweza kujenga msingi imara kwa kutumia matofali yaliyotupwa na wengine.”

“Fursa zina aibu, zinakusubiri uzikimbilie.”

While seeking revenge, dig two graves - one for yourself.

if you wake up without a goal, go back to sleep…

We can easily forgive a child who is afraid of the dark; the real tragedy of life is when men are afraid of the light." - Plato.

When you are dead, you do not know you are dead. It's only painful & difficult for others. The same applies when you are stupid
Mbona yangu hujaiweka hapo? Sijaiona 😅
 
Kwanza kabisa naomba nianze kwa kusalimia

Wakubwa zangu Shikamoo, wadogo zangu Marahaba, Mashangazi Chei chei!,

Nimejiuliza sana hivi mliwezaje kujiunga na JamiiForums, maana nimejaribu kufanya tafiti kwenye jamii inayonizunguka simuoni mdada anayefanania kuwa na akaunti JF, wengi wao utawakuta wako kwenye social media nyingine kama X, instagram, tik tok na nk

Nyie ilikuwaje mkatokea JF naombeni mnipe ushuhuda kdg, ilikuwaje, na nani aliku_introduce JamiiForums na uliwezaje kufungua mpk akaunti, aisee nyie ni noma.

Please hii ni kwa KE halisia sio nyie wenye fake ID mnaojifanya KE kumbe ni ME, Ashakum si matusi, hivi unajiskiaje unaposifiwa na mwanaume mwenzako PM una paja laini au tako jema na unajibu asante, kweli? wkt wewe ni ME

Salaam zenu kutoka CHAPUTA na KATAA NDOA mmelika kweli kweli.
Umbeya wa kidada nao huwa unachoma kamaa moto
 
Eti eh sawa mambo ex
Hahahhh ila Daudi anaonekana ana mistari konzi sana (punchlines), binti inakuingia kama mshale mtimani, ila tulia sisi ndo wazee wa kumwaga mapene, stori kdg, acha pesa yenyewe ndo iongee. Shopping Dubai, UAE, usingizi Vancouver, Canada.
 
Back
Top Bottom