Wadada wa JamiiForums naomba mpokee maua yenu

Wadada wa JamiiForums naomba mpokee maua yenu

Nikusaidie wanawake waliopo Twitter ndio waliopo JF…..!!
Halafu hakuna cha ajabu mwanamke kuwa huku, kingine ukitaka kumjua mwanamke wewe fatilia michango yake, kuna vitu atashindwa kujadili km mwanamke lazima ataonyesha uhalisia wake sababu anaigiza..!!

Atajifanya mwanamke kwa muda mbele huko atajionyesha tu yeye ni nani?
 
Salam za kataa ndoa tumezipokea
#kataa ndoa linda uhuru
#kataa ndoa linda kibunda
#kataa ndoa linda afya ya akili
😂😂😂😂 naomba unifikishie salaam tena kwa Mwenyekiti na Wajumbe Wotee. Haya majamaa yana act ni KE kumbe ni ME msiwasahau kwenye hadidu za rejea, yanatupotezea sana timing, Msimamo wenu usitofautiane na wa Trump, nimependa sana MOTTO yenu line tatu za maana kbs.😀
 
Kwa hii mentality yako, una safari ndefu sana
Nyie watu nawashangaa sana! Umuhimu wa mwanamke ni K yake. After all mkidinyana huwa Taa zinazimwa. Sura ya nini na wakati K ina sura mbaya. La muhimu ni K yake si su
 
Kwani jf ina maajabu gani?
Halafu pia inategemea na choice ya mtu..mimi binafsi sio mpenzi wa tiktok wala sina account huko
Kwahiyo nitakuwepo jf kusoma na kufurahia post za humu...au mlitaka muwe wanaume wenyewe?
Mngetongozana je sasa 🤣
Kumbe umekuja kutafuta attention ya kutongozwa
 
Kwani jf ina maajabu gani?
Halafu pia inategemea na choice ya mtu..mimi binafsi sio mpenzi wa tiktok wala sina account huko
Kwahiyo nitakuwepo jf kusoma na kufurahia post za humu...au mlitaka muwe wanaume wenyewe?
Mngetongozana je sasa 🤣
Hapana Madam nyie ni wakipekee wanawake wengi wanapenda kuona picha picha tofauti na JF maneno ni mengi kuliko picha
 
Kwanza kabisa naomba nianze kwa kusalimia

Wakubwa zangu Shikamoo, wadogo zangu Marahaba, Mashangazi Chei chei!,

Nimejiuliza sana hivi mliwezaje kujiunga na JamiiForums, maana nimejaribu kufanya tafiti kwenye jamii inayonizunguka simuoni mdada anayefanania kuwa na akaunti JF, wengi wao utawakuta wako kwenye social media nyingine kama X, instagram, tik tok na nk

Nyie ilikuwaje mkatokea JF naombeni mnipe ushuhuda kdg, ilikuwaje, na nani aliku_introduce JamiiForums na uliwezaje kufungua mpk akaunti, aisee nyie ni noma.

Please hii ni kwa KE halisia sio nyie wenye fake ID mnaojifanya KE kumbe ni ME, Ashakum si matusi, hivi unajiskiaje unaposifiwa na mwanaume mwenzako PM una paja laini au tako jema na unajibu asante, kweli? wkt wewe ni ME

Salaam zenu kutoka CHAPUTA na KATAA NDOA mmelika kweli kweli.
Kumeanza kuchangamka mapema tu
 
Kwani jf ina maajabu gani?
Halafu pia inategemea na choice ya mtu..mimi binafsi sio mpenzi wa tiktok wala sina account huko
Kwahiyo nitakuwepo jf kusoma na kufurahia post za humu...au mlitaka muwe wanaume wenyewe?
Mngetongozana je sasa 🤣
Safi sana uje pale Nexus Makumbusho,unywe Juice
 
Basi wengi ni wale wenye characters za kiume mkuu, mwanamke kuacha tiktok, fb, insta kuja jf ni ngumu sana, pia anakuwa na elimu ya kujitambua sana(msomi)

Mwanamke wa kawaida hawezi kuacha kujisnap aje jf kuitana mkuu, kiongozi, bro
TUPO MKUU TUPO......
Mie nikiwaambia watu kama sina hata account ya INSTA wananishangaa. Huwa naulizwa umbea naupata wapi sasa!?
Mimi baada ya Watsapp na JF Labda na NETFLIX hayo mambo mangine hata kuyafaham siyafaham. kwanza sina muda kivileeeee.
Ila mimi sina characters za kiume wala sio msomi, basi ni maamuzi yangu tu. Ht Watsapp ingekuwa sio kwa sababu ya mawasiliano na ndugu na jamaa waliopo mbali pamoja na masuala ya kazi basi wala nisingeshughulika nayo pia
 
Back
Top Bottom