Wadada wa JamiiForums naomba mpokee maua yenu

Kweli, mbinu za kimedani
 
I was attracted to intelligence
 
Kama kuna wanawake humu jf itakua wapo kwenye vitengo vya ulinzi na usalama na wanapewa maagizo na mabosi wao ila sio kwa matakwa yao.
 
Hahahhh ila Daudi anaonekana ana mistari konzi sana (punchlines), binti inakuingia kama mshale mtimani, ila tulia sisi ndo wazee wa kumwaga mapene, stori kdg, acha pesa yenyewe ndo iongee. Shopping Dubai, UAE, usingizi Vancouver, Canada.
Ndio wewe daudi au tunamzungumzia wa biblia
 
Wanawake wa JF mna akili nyingi sana imani yangu inaniambia mpo, lakini mpo wachache sana, kuna majukwaa mengine ukiingia mnajikuta midume tupu, TMK, Chege,Nature na KR Mula 😂
 
Ngoja nifanye uchunguzi wangu nikija kumfuma mwanamke live yupo jf, nampima na size ya shela kabisa
Ilibidi niangalie umejiunga lini JF.
Kuna zile shindano la JF Story of change hukuwaona wanawake? In fact Mshindi wa shindano la kwanza alikuwa msichana.
Kuna events members wa JF wameandaa na kukutana, wamehudhuria wanawake wengi tu.
Kama unazama PM huko watu wamekutana na warembo wakali wengi tu. Kama bado hujazama fanya hima uende.
 
Asante kwa kutupa maua ni kitambo sikumbuki niliijua vipi jamii forum maana nOilikuwa na mitandao mbalimbali na kwangu jamii forum ndo ikaja kuwa bora zaidi.
 
Ni kweli matapeli wapo sana ila ni ujinga mwanamme kamili kuact kama mwanamke.mwanamme halisi atahisi hatia
Ndo hivo tunaishi nao tu, kwenye mkusanyiko wa watu lazima wawepo wanaoenda kinyume tu

Hata shuleni wasiovaa soksi na tai, ikitokea siku mwalimu mkuu akasema kesho ni free hakuna kuvaa soksi na tai, wao watavaa ili mradi tu wawe kinyume
 
CHAPUTA na KATAA NDOA Hivi vyama kwa nini visiungane tu kiwe kimoja!
 
Wapo mkuu binafsi nimekutana na wawili na wapo smart kweli kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…