Wadada wa JamiiForums naomba mpokee maua yenu

Wadada wa JamiiForums naomba mpokee maua yenu

Nikusaidie wanawake waliopo Twitter ndio waliopo JF…..!!
Halafu hakuna cha ajabu mwanamke kuwa huku, kingine ukitaka kumjua mwanamke wewe fatilia michango yake, kuna vitu atashindwa kujadili km mwanamke lazima ataonyesha uhalisia wake sababu anaigiza..!!

Atajifanya mwanamke kwa muda mbele huko atajionyesha tu yeye ni nani?
Kweli, mbinu za kimedani
 
Kwanza kabisa naomba nianze kwa kusalimia

Wakubwa zangu Shikamoo, wadogo zangu Marahaba, Mashangazi Chei chei!,

Nimejiuliza sana hivi mliwezaje kujiunga na JamiiForums, maana nimejaribu kufanya tafiti kwenye jamii inayonizunguka simuoni mdada anayefanania kuwa na akaunti JF, wengi wao utawakuta wako kwenye social media nyingine kama X, instagram, tik tok na nk

Nyie ilikuwaje mkatokea JF naombeni mnipe ushuhuda kdg, ilikuwaje, na nani aliku_introduce JamiiForums na uliwezaje kufungua mpk akaunti, aisee nyie ni noma.

Please hii ni kwa KE halisia sio nyie wenye fake ID mnaojifanya KE kumbe ni ME, Ashakum si matusi, hivi unajiskiaje unaposifiwa na mwanaume mwenzako PM una paja laini au tako jema na unajibu asante, kweli? wkt wewe ni ME

Salaam zenu kutoka CHAPUTA na KATAA NDOA mmelika kweli kweli.
I was attracted to intelligence
 
Kama kuna wanawake humu jf itakua wapo kwenye vitengo vya ulinzi na usalama na wanapewa maagizo na mabosi wao ila sio kwa matakwa yao.
 
Hahahhh ila Daudi anaonekana ana mistari konzi sana (punchlines), binti inakuingia kama mshale mtimani, ila tulia sisi ndo wazee wa kumwaga mapene, stori kdg, acha pesa yenyewe ndo iongee. Shopping Dubai, UAE, usingizi Vancouver, Canada.
Ndio wewe daudi au tunamzungumzia wa biblia
 
Wanawake wa JF mna akili nyingi sana imani yangu inaniambia mpo, lakini mpo wachache sana, kuna majukwaa mengine ukiingia mnajikuta midume tupu, TMK, Chege,Nature na KR Mula 😂
 
Ngoja nifanye uchunguzi wangu nikija kumfuma mwanamke live yupo jf, nampima na size ya shela kabisa
Ilibidi niangalie umejiunga lini JF.
Kuna zile shindano la JF Story of change hukuwaona wanawake? In fact Mshindi wa shindano la kwanza alikuwa msichana.
Kuna events members wa JF wameandaa na kukutana, wamehudhuria wanawake wengi tu.
Kama unazama PM huko watu wamekutana na warembo wakali wengi tu. Kama bado hujazama fanya hima uende.
 
Asante kwa kutupa maua ni kitambo sikumbuki niliijua vipi jamii forum maana nOilikuwa na mitandao mbalimbali na kwangu jamii forum ndo ikaja kuwa bora zaidi.
 
Ni kweli matapeli wapo sana ila ni ujinga mwanamme kamili kuact kama mwanamke.mwanamme halisi atahisi hatia
Ndo hivo tunaishi nao tu, kwenye mkusanyiko wa watu lazima wawepo wanaoenda kinyume tu

Hata shuleni wasiovaa soksi na tai, ikitokea siku mwalimu mkuu akasema kesho ni free hakuna kuvaa soksi na tai, wao watavaa ili mradi tu wawe kinyume
 
CHAPUTA na KATAA NDOA Hivi vyama kwa nini visiungane tu kiwe kimoja!
 
Wapo mkuu binafsi nimekutana na wawili na wapo smart kweli kichwani
 
Back
Top Bottom