Wadada wa JF msaada wenu tafadhali, sijawahi pata PM hata moja..!

Wadada wa JF msaada wenu tafadhali, sijawahi pata PM hata moja..!

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Wee da'vinci kila siku tunachat Prime Mondray
 
Unadhani wanawake wa Jf ni mandezi kiasi hiki!
Hata kama tuko nyuma ya keyboard, tunakujua mpaka mfukoni kwako kulivyo.
Baba, tafuta pesa....hizi sixpack waachie waliojichanga tayari.
Mwanaume asie na pesa, Pm ataipata kwa modereta kipindi anapewa sababu ya kwanini kala ban, otherwise.....utaisikia jukwaani tu.
Tena modereta mwenyewe wa kiume.
Duuuh hili jibu linatoka nchi gani vile?
Tanzania ya viwanda?
Tanzania ya maisha bora?
Tanzania ya ukweli na uwazi?
 
Back
Top Bottom