DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
Duuh! Hizi akili zako au umehakiwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....lidemu mcharuko kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh! Hizi akili zako au umehakiwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....lidemu mcharuko kabisa
Demise mtoe unamchokoza mshana jr
HahahaHela hakuna mama profile lake linajulikana
Haswaaaa yeye analalamika nawatu wanaojulikana ??uwiiiiiiKumbeee
Haya nikishatumia web ndo naenda wapi na wapi?Yeah tumia web.
Kisandu nae mdada eeeHao wote uliowatag ni wanawake au ni macho yangu yana kengeza?
The list jee?Kisandu nae mdada eee
Kwani mi mwanaume?Una uhakika gani hawa wote uliowatag ni wanawake? Inamaana unataka wote wakupm? Namuona umemuunganisha hadi Jolie Jolie. Jomoni...
Mwambie na Shunie amtoe kabla sijatumia $$$$ zangu kumfanyia u COSA NOTRAHuyo mmoja mtoe tusitafutane ubaya 😡 😡 😡
Mwenzangu nnaweza kupigwa kombora mpaka nisahau simuDemise mtoe unamchokoza mshana jr
Sasa jeeeeeeee haya mambo sio ya mchezo mchezo uwiiiiiHatariiiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]The list jee?
Duuuh hili jibu linatoka nchi gani vile?Unadhani wanawake wa Jf ni mandezi kiasi hiki!
Hata kama tuko nyuma ya keyboard, tunakujua mpaka mfukoni kwako kulivyo.
Baba, tafuta pesa....hizi sixpack waachie waliojichanga tayari.
Mwanaume asie na pesa, Pm ataipata kwa modereta kipindi anapewa sababu ya kwanini kala ban, otherwise.....utaisikia jukwaani tu.
Tena modereta mwenyewe wa kiume.