min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
UmemisikaSema blazaaa
UmemisikaSema blazaaa
Nimewamiss ma bro zanguUmemisika
Hauna baya blaza udumu miaka 100 🤣Sema blazaaa
Sema bro ulipotea kinoma.Sema blazaaa
Majukumu bro 😃Sema bro ulipotea kinoma.
Amen bro, ahsante sana 😃Hauna baya blaza udumu miaka 100 🤣
Karibu tena kundini!Majukumu bro 😃
Umejuaje ?..Bantu Lady maandamano ya MO29 yalipita nae
Binti wa zamani amesafiri kikazi hayupo Africa nadhani ubusy mwingi kaamua kutulia kidogo
Ahsante nimerudiKaribu tena kundini!
Waarabu wa PembaUmejuaje ?..
Humu JF wanawake 3,000 tunafika kweli?Na Binti wa zamani mmoja anachukua nafasi y wanawake elf 3 wa jf
Finally, nimerudi mwaya!Binti wa zamani amesafiri kikazi hayupo Africa nadhani ubusy mwingi kaamua kutulia kidogo
Kabadili of kawa @mambwa
Yethuuuuuuuuuu, ni impersonator gani anakusanya maokoto yangu kwenye hilo jukwaa 🤔?Kabadili of kawa @mambwa