Wadada wa massage sio watu wazuri kabisa


Kaka kama umeniongelea mimi vile yani nilipokua namiaka 23 mpaka 27 nilifanya vitu vikubwa sana

Sasaivi namiaka 37 nimechoka mbaya kila nachofanya kinadunda ata sielewi.
 
Jina la hiyo barbershop mkuu na mahali ilipo Azarel
 
Ukitaka ukwepe hiyo kitu ni heri kuacha kuingia barbershop za hivyo.
 
Nina kinyaa sana .. siwezi kula demu wa bar au sehemu Kama hizo hata afanyaje

Pia siwezi fanyiwa massage hata ya kichwa sijui

Saloon yangu Ni simple Sana unanyoa unajifuta nywele unaenda kuoga


Na ninapendeza nywele za asili napaka mafuta ya mgando hayo hayo napaka mwilini naomba kuwasilisha


Hivi unakulaje bar maid kwanza
 
Kua uyaone
 
Story haijaisha ,,tuambie umechomokaje??
 
Daaah ifikie tuu mahala wadada/wamama tuendelee na shughuli zetu hawa wanaume wana sehemu nyingi za kuchepukia huwezi kuwalinda abadani....

Kwani uko wanako chepuka wachepuka na mbizi. Ukiona mwanaume kachepuka ujue kachepuka namwanamke sasa izo lawama za nini?
 
Ata wanawake wanachepuka sana msijifanye nyie malaika....leo vipi singida anakufa?
Kuhusu game niko 50 /50 mtu wangu...
Sisi sio malaika ila atleast you can count on us...hasa sisi mamaz..yani sisi tulokua na watoto hizo mbilinge mbilinge tumestaafu...
 
Ujinga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…