Wadada wa massage sio watu wazuri kabisa

Wadada wa massage sio watu wazuri kabisa

Jela ni mfano nimetoa kukuonyesha kuwa miaka 29 na 40 wote ni watu wazima.

Hivi unajua kuwa kuna watu wakiwa na miaka 25 waliweza kujenga, kuwa na usafiri na mambo mengine ya msingi ila leo wana miaka 35 hawawezi kufanya waliyoyafanya na miaka 25? Kwa hiyo kama suala ni muda wa kufanya maendeleo still si ishu.

Kaka kama umeniongelea mimi vile yani nilipokua namiaka 23 mpaka 27 nilifanya vitu vikubwa sana

Sasaivi namiaka 37 nimechoka mbaya kila nachofanya kinadunda ata sielewi.
 
Kuna Berbershop Mpya Arusha ina massage center matata sana 80,000/=

Nasikia kuna Wadada wawili ukiwaruhusu wakufanyie massage wanakuchua mpk Dushe na kunyonya

Hilo nimelisikia sana na wake za watu wamelalamika kuwa wanachukuliwa waume zao na Dada mmojawapo ni Mbulu anaitwa J......alikuwa Mt. Meru Hotel akahamia hapo

Sasa tutaponaje hapa??
Jina la hiyo barbershop mkuu na mahali ilipo Azarel
 
Ukitaka ukwepe hiyo kitu ni heri kuacha kuingia barbershop za hivyo.
 
Nina kinyaa sana .. siwezi kula demu wa bar au sehemu Kama hizo hata afanyaje

Pia siwezi fanyiwa massage hata ya kichwa sijui

Saloon yangu Ni simple Sana unanyoa unajifuta nywele unaenda kuoga

Na ninapendeza nywele za asili napaka mafuta ya mgando hayo hayo napaka mwilini naomba kuwasilisha

Hivi unakulaje bar maid kwanza
 
Kua uyaone
 
Mimi kama kijana mdogo wa miaka 29 maana uzee uanza 45 years, napenda kupendeza sana na uhandsome wa mwanaume ni kunyoa.

Story inaanza nimeamka Jumamosi flani mapema nikaenda jumuiya na nikafanya majukumu binafsi, Nikaamua niende Sinza kunyoa sitataja saluni kuingia nikanyoa fresh.

Sasa kusubiri black ikauke kuna zile pisi kali za kuosha nywele toto white flani rangi ya mtume yaani cream ebony delavida mnaelewa nafikiri zimekaa kitaalamu.

Nikaingia kwenye zile room sasa wakati naoshwa nywele wakaanza kutekenya masikio nikasikia hutaki massage 50,000 tu tunamaliza kila kitu.

Kwa kweli wanajua kupandisha ashki za mwanaume na ukiwa legelege unaacha mtaji, cha kushukuru niliacha simu nyumbani nilikuwa na 20k tu.

Kusema ukweli hawa watu ni hatari, wana njia zote za kuiba hela yako wakati wanakuosha wanakuwa wamevaa blouse no brazia kwahiyo mtindi unaona wote so hauwezi kutoka salama na wana lipa kwa simu, mastercard yaani wapo kitaalamu Sinza ni hatari nyie.

Selemani sele.
Kijana mstaarabu.
Story haijaisha ,,tuambie umechomokaje??
 
Daaah ifikie tuu mahala wadada/wamama tuendelee na shughuli zetu hawa wanaume wana sehemu nyingi za kuchepukia huwezi kuwalinda abadani....

Kwani uko wanako chepuka wachepuka na mbizi. Ukiona mwanaume kachepuka ujue kachepuka namwanamke sasa izo lawama za nini?
 
Ata wanawake wanachepuka sana msijifanye nyie malaika....leo vipi singida anakufa?
Kuhusu game niko 50 /50 mtu wangu...
Sisi sio malaika ila atleast you can count on us...hasa sisi mamaz..yani sisi tulokua na watoto hizo mbilinge mbilinge tumestaafu...
 
Mimi kama kijana mdogo wa miaka 29 maana uzee uanza 45 years, napenda kupendeza sana na uhandsome wa mwanaume ni kunyoa.

Story inaanza nimeamka Jumamosi flani mapema nikaenda jumuiya na nikafanya majukumu binafsi, Nikaamua niende Sinza kunyoa sitataja saluni kuingia nikanyoa fresh.

Sasa kusubiri black ikauke kuna zile pisi kali za kuosha nywele toto white flani rangi ya mtume yaani cream ebony delavida mnaelewa nafikiri zimekaa kitaalamu.

Nikaingia kwenye zile room sasa wakati naoshwa nywele wakaanza kutekenya masikio nikasikia hutaki massage 50,000 tu tunamaliza kila kitu.

Kwa kweli wanajua kupandisha ashki za mwanaume na ukiwa legelege unaacha mtaji, cha kushukuru niliacha simu nyumbani nilikuwa na 20k tu.

Kusema ukweli hawa watu ni hatari, wana njia zote za kuiba hela yako wakati wanakuosha wanakuwa wamevaa blouse no brazia kwahiyo mtindi unaona wote so hauwezi kutoka salama na wana lipa kwa simu, mastercard yaani wapo kitaalamu Sinza ni hatari nyie.

Selemani sele.
Kijana mstaarabu.
Ujinga tu
 
Back
Top Bottom