Wadada wa siku hizi sielewi wanawezaje kuendesha biashara zao ndogo kwenye fremu za gharama kubwa

Ganga ama msingi kiuno
 
Mume ni kichwa cha mwanamke, usiowaone wapo wenyewe wenyewe kuna vichwa somewhere vinafanya mambo hata kama vichwa hivyo sio vyao officially.
 
Jmosi iliyopita nilikuwa ARUSHA na NDUGU Yangu ametoka nje...akaantoa nje shika 200"000 we tutumie br. Nkaweka 40 kushoto kwanza

wakaja madada wazuri wastaarabu akawapa ofa zikazungushwa fly. ...na savanna ...mmmh nilipoona awalewi nkastop kunywa pombe nkahisi awachrlewi kutupiga.

Moja akanifwata kiustaarabu nimependa upendo wenu naonba namba yako nkampa


asbh nkakutana na msg .mmefika salama...NDIO.... Can I tell u something mmmh nkazima kwa mda nkataman ntoe na betri

baadae straight akaandika kaka na biashara Yangu naonba msaada WA capital ........

nkamjibu sorry si tunapita TU Wala atuna uwezo WA kumpa mtu mtaji

kama kula kunywa MPAKA tuondoke ok

ajajibu MPAKA tumeondoka......

so imagine anakutana na famba anampa hela anakula mzigo mwezi mzima

Hawa sio mbona
 
Mji una mengi sana mkuu ,,,, !
 
Hizi type zimejaa sana kaka
 
Kaka Yangu alioa mwanamke akamwambia kapata mkopo

nipeleke nijue ulipochukua ola

akafika SIKU kamwambia amefungua duka anachukua nguo krkoo anauza mwenge ....

akakaa kimya SIKU akamnyatia MPAKA mwenge akakuta ana duka limejaa mzigo WA hataree.

akaamua kukesha nae wakiuza...kaja jamaa kibopa kauliza huyuu nani

Binti akamwambia sorry sikuwahi kwambia niliwahi kuolewa

mumee taharuki eehe huyu nani....kikaumana wakaishiaa talaka

jamaa akamtimua Binti anauza mitumba karume saahizi.....

Kuombeana TU wote tuna mapungufu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…