kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 3,607
- 9,430
- Thread starter
- #101
Kifupi wawake hawaeleweki sioWanawake wanaumiza kila angle, awe na hela mnaumiza akili zenu anapataje, asiwe nazo mnasema hamuoni akili zenu zinapungua siku hadi siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifupi wawake hawaeleweki sioWanawake wanaumiza kila angle, awe na hela mnaumiza akili zenu anapataje, asiwe nazo mnasema hamuoni akili zenu zinapungua siku hadi siku
Ganga ama msingi kiunoUmenikumbusha mzee mmoja alikuwa na taxi....muda wote kapaki kwenye kijiwe cha gahwa...anaifutafuta gari yake...mtu akitaka kukodi hasa vijana anakataa.....kumbe alfajiri ameshapiga dili zake za kusambaza chang'aa...hivyo basi kwa hao wa maduka...si ajabu ngada.
yaani umejua kupiga kwenye mshonoBila shaka unatamani nawe kuwa mwanamke.....
Ufungue duka, ukae na mashost zako, mle mnywe....
Now bado wapo sana tuHao ni ma Drug dealers 100% makonda aliwakamata akawaweka ndani pale kinondoni studio.
100%Masponsa
Hapo ni kama wanazugia tuHizo flemu, nimeziona Sana, Ila, inaelekea ni, kama front ya biashara Fulani haramu, cause, it makes ni sense!
Mume ni kichwa cha mwanamke, usiowaone wapo wenyewe wenyewe kuna vichwa somewhere vinafanya mambo hata kama vichwa hivyo sio vyao officially.Unakuta,
Mdada kakodi fremu kodi 1m, kaweka vigauni na madela, ukipiga hesabu yake vigauni kama 7, na Madela 15 jumla haifiki mtaji wa 1M anashinda hapo kila siku.
Mashoga zake wanamtembelea hapo ni mwendo wa kuagiza misosi na vinywaji ki pub cha jiran, nje kapaki IST yake safi kabisa, jioni huyo anaenda kwake, unakuta biashara ngumu lakini anakomaa hivyo hivyo, kuna nini nyuma ya pazia? Au ndo masponsa?
Unakuta mdada kakodi fremu kaweka vyupi pc kadhaa, bra pc kadhaa na pochi kama 10 tu kamaliza. Anashinda hapo biashara hamna na ukimuona mdada mwenyewe high class. Ama kweli dunia ina mambo!
Unakuta mdada kafungua saloon, anashinda ti huko na mashoga zake lakini hakuna kinachofanyika humo ndani na still life going on.
Hasa maeneo haya ya mijini unakuta mdada kafungua let's say bakery, hamna movement zozote lakn kila siku yumo, na kodi ikiisha italipwa ya mwaka. Kuna nini behind?
Kuna mahali nina kiofisi mjini mjini hivi, Jirani yangu ni mdada wa makamo 40's ni zile types za wadada ambao hawazeeki, full kupendeza, sunglasses n.k. Tuwaite mishangazi.
Ni jirani nikimaanisha fremu zetu zimefatana. Kachukua frem mbili kavunja kati ikawa moja kubwa, kaweka mini supermarket nzuri ya kisasa mzigo wa kutosha, kafunga Ac, milango aluminium, pana muonekano mzuri. Hana mfanyakazi anauza yeye mwenyewe, pia ana harrier hizi wanaziita matako ya nyani, hamna biashara kabisa. Kwa siku ameuza sana haizidi laki moja, nadhani watu wanapaogopa kulingana na muonekano wanahisi vitu ni bei Sana.
Mashoga zake wanakuja ni kujiagizia pombe tu na vyakula, akijisikia hata saa 8 mchana anafunga anaondoka, weekend anafunga muda wowote ule.
Mifano ni mingi iliyo hai, wanawake na hizi biashara ni kama geresha, au ni pakuzugia tu wana migodi yao wanayochimba pesa (mabwana ).
Wanazuga tu wana mambo mengineMaduka ya Sinza na Kino
Kwa kweliWe tulia,watu mapatrol mjini.
una hakika gani kama haimlipi mbona hujataja bei za hizo pochi ukute pochi moja 5m we endelea kuwaza kimaskiniNawaza hivyo pia ama kuna watu wanawaweka mjini ,,,, ! Haiingii akilini frem mtu alipe 2.m au 1.5m tena mwaka akauze pochi 10, vichupi kadhaa na bra ! Haimlipi hata kidogo
Na hazielewekiEpuka matapeli hakuna billionaire mwanamke kuzidi wanaume hata huko kwenye haki sawa.. Biashara za wanawake wanazijua wenyewe
Jibu hoja ,,,,, ! Usije na personal attack, naamini unao watoto/mtoto, dada , mama ama ndugu wa kike ,,,,Daaah kama wanafaidi badili jinsia tu.
Mji una mengi sana mkuu ,,,, !Kuna jengo kubwa sana jipya pale sinza mall mkono wa kulia kama unaelekea mwenge biashara za pale uwa sielewi watu wanapataje faida make niliwai kushinda pale week mfullizo huoni wateja wakija kuchukua bidhaaa ghorofa ya pili na ya tatu ila watu daily wapo
Hizi type zimejaa sana kakaJmosi iliyopita nilikuwa ARUSHA na NDUGU Yangu ametoka nje...akaantoa nje shika 200"000 we tutumie br. Nkaweka 40 kushoto kwanza
wakaja madada wazuri wastaarabu akawapa ofa zikazungushwa fly. ...na savanna ...mmmh nilipoona awalewi nkastop kunywa pombe nkahisi awachrlewi kutupiga.
Moja akanifwata kiustaarabu nimependa upendo wenu naonba namba yako nkampa
asbh nkakutana na msg .mmefika salama...NDIO.... Can I tell u something mmmh nkazima kwa mda nkataman ntoe na betri
baadae straight akaandika kaka na biashara Yangu naonba msaada WA capital ........
nkamjibu sorry si tunapita TU Wala atuna uwezo WA kumpa mtu mtaji
kama kula kunywa MPAKA tuondoke ok
ajajibu MPAKA tumeondoka......
so imagine anakutana na famba anampa hela anakula mzigo mwezi mzima
Hawa sio mbona
Sawa vzuri sanaNiko poa pia mwanadada
Sana mkuuuuHizi type zimejaa sana kaka
Kabisa ccy