Wadada wamezidi kuomba pesa

Mwanamke anakuomba buku mbili halafu anaomba umuuzie maji bila shaka ukikubali kumuuzia tegemea kuombwa hela ya kununulia hayo maji.
Sema mwamba unatufelisha sana,unaombwa buku mbili umekimbilia kufungua uzi? Halafu unawezakuta hiyo kodi yenyewe ni 10k
 
Hadi Maji kaomba hapo tena kuuziwa Yan hana makuu kabisa

Mleta uzi sijui apewe Nini kingine,kapewq wa size ya buku 2 na ndoo ya Maji bado kamfungulia uzi hapa ,je akipewa wa laki 1 si atambandika matangazo mtaa mzima
Aibu hii sasa.
Kuna vibomu vilivyopitiliza tuna vikataa but buku 2 na maji aaah
 
𝙉𝙖 𝙝𝙖𝙥𝙤 𝙗𝙖𝙙𝙤 𝙢𝙢𝙟𝙖 𝙬𝙖𝙥𝙤 𝙣𝙞𝙣𝙖𝙚 𝙝𝙪𝙠𝙪 𝙠𝙢 𝙠𝙪𝙣 𝙢𝙩𝙪 𝙖𝙣𝙖𝙬𝙚𝙯𝙖𝙣 𝙣𝙖 𝙝𝙯𝙤 𝙢𝙢𝙗 𝙣𝙟𝙤𝙤 𝙣𝙠𝙪𝙥 𝙣𝙢𝙗 𝙞𝙡𝙖 𝙢𝙯𝙜𝙤 𝙪𝙣𝙖𝙟𝙞𝙥𝙖𝙠𝙪𝙡𝙞𝙝 𝙖𝙡𝙬𝙖𝙮𝙭 𝙝𝙖𝙝𝙖𝙝𝙖
 
mwanamke wa hivyo unamfanya kama malaya tu
 
Huyu anaendana na hali ya uchumi wa sasa, nashangaa jamaa analalamika, angepigwa hiki je ?[emoji116][emoji38]View attachment 2418860
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Hakika mkuu ni ujinga na ufala mkubwa
 
Daah..kama unamjua mkuu huyu manzi ana tako kubwa balaaa
 
Hapo sasa na huyu dem mara nyingi huwa ananiambia kuwa ataki kuolewa
Shida kuishi na wanaume hawataki wanataka kukaa kihuni kama nguruwe halafu wanataka kupewa mahitaji kama wake za watu. Mtihani mzito huu.
 
Vizinga kabla ya kupewa mbususu huwa vinavumilika ila nikishasuuza rungu imekula kwake 🤣🤣🤣
Na wao ni wajanja yani kabla ya kukupa mbususu wanahakikisha wamekuchakaza haswa ukachakaa sasa hapo ni uamuzi wako ukaze buti au ukimbie
 
Na wao ni wajanja yani kabla ya kukupa mbususu wanahakikisha wamekuchakaza haswa ukachakaa sasa hapo ni uamuzi wako ukaze buti au ukimbie
Kitu ambacho unafanya unahakikisha kuwa mahusiano yasiwe marefu mpaka upewe mbususu ukiona anakupanga sana ndani ya siku chache za mwanzo unajitoa kwanza unamkaushia

Unabaki kwenye data base zake siku ya siku itafika tu utammega hawa ni ombaomba atakurudia tu hapo ndo unammega sasa

NB: Lakini kwa njaa walizo nazo siku hizi hawachelewi kutoa mbususu
 
Kweli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…