Wadada wamezidi kuomba pesa

Heri wee hat hujachapa!!
Mi napata message 5 hadi 8 almost daily, za hata mabibi wa zamani , ndugu, marafiki wanaotaka elf 30 , kila mtu ana shida!
Tatizo wote hwajui kuwa nina shida kuliko wao.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚
Huyo kutokana kuwa analo Tako kubwa. Basi anao wanaume wengi sana. Na hiyo ni "njaa feki". Yaani hizo lakilaki anazoomba kuna wanaume wengine wengine sana wanampatia hizo lakilaki au zaidi ya hapo hata mamilioni anapewa πŸ˜‚πŸ˜‚. Ila nahisi hizo lakilaki ni kama kiingilio cha kuelekea kwenye tako lake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Kiufupi hivyo virungu ni feki na anazopesa nyingi sana. Akikupiga kirungu mwambie umeshamla tako lake kwa macho bure kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…