Wadada wamezidi kuomba pesa

Wadada wamezidi kuomba pesa

Kiukweli hali ni mbaya, dada zetu wanaomba pesa kupitiliza. Hebu fikiria mtu hujamtongoza, ni yale mazoea tu ya kawaida lakini kila muda kwako ujumbe unaingia wa kuombwa pesa tu.

Mwengine hujamtongoza na anataka umlipie kodi na hapo hapo simu yake Oppo imevunjika kioo inatakiwa 100k. Hivyo vyote nimepewa mimi kisa tu ni kwamba nilionesha yale mazingira ya kumuhitaji kwa kipindi cha nyuma.

Nilivyoona naanza kuegemewa nikafuta huo mpango, ila sasa pamoja na kufuta huo mpango bado ananing'ang'ania, ananipiga vibomu kila saa utadhani mimi mume wake.

Hivi mtu huyu nimfanyeje?
Heri wee hat hujachapa!!
Mi napata message 5 hadi 8 almost daily, za hata mabibi wa zamani , ndugu, marafiki wanaotaka elf 30 , kila mtu ana shida!
Tatizo wote hwajui kuwa nina shida kuliko wao.
 
Nahisi virungu vyake ni vyamoto ndio maana watu wanamuepuka just imagine mi kumzoea siku moja tu usiku wake akanipiga kirungu cha 100k na hapo hapo akaniambia kodi yake imeisha ile sijamjibu tu akadakia vp unaweza kunilipia sasa kwa mazingira hayo unahisi nani atakaa juzi katI kafanya birthday ya gharama kumbe kuna mwamba mmoja alidhamini pambano nilimuona siku ya tukio kaja na kigari chake siku hiz simuoni itakuwa alishalamba asali akasepa maana dem analia njaa kinoma na anafanya kazi na huyo dem kutoa mbususu ni mpaka akukamue kuanzia 100k bila hivyo uonji sasa namimi kutoa hiyo 100k ndio ngumu huwa ananiambia ntaishia kula kwa macho hivo hivo nikasema amna shida. Ila 100k sitoi
😂😂
Huyo kutokana kuwa analo Tako kubwa. Basi anao wanaume wengi sana. Na hiyo ni "njaa feki". Yaani hizo lakilaki anazoomba kuna wanaume wengine wengine sana wanampatia hizo lakilaki au zaidi ya hapo hata mamilioni anapewa 😂😂. Ila nahisi hizo lakilaki ni kama kiingilio cha kuelekea kwenye tako lake 😂😂😂. Kiufupi hivyo virungu ni feki na anazopesa nyingi sana. Akikupiga kirungu mwambie umeshamla tako lake kwa macho bure kabisa 😂😂😂
 
Back
Top Bottom