Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
- Thread starter
- #161
Sasa kama ulitaki bac usiniombe pesa zanguKama silitaki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama ulitaki bac usiniombe pesa zanguKama silitaki?
Kenge kweliMnatusingizia tu, tunawaomba sababu tunawapenda sana.
Mnatoa kwa kuviziwa sana na hapo ujue ushanikamua ela za kutoshaWeeeh!! Since when? Si mngekuwa vichaa nyie!
Inashangaza sanaPesa ndo inaonesh mapenz ya kweli skuiz
Si kila mtu anaomba anachohitaji au?Sasa kama ulitaki bac usiniombe pesa zangu
Hutaki kupendwa weye?Kenge kweli
Heri wee hat hujachapa!!Kiukweli hali ni mbaya, dada zetu wanaomba pesa kupitiliza. Hebu fikiria mtu hujamtongoza, ni yale mazoea tu ya kawaida lakini kila muda kwako ujumbe unaingia wa kuombwa pesa tu.
Mwengine hujamtongoza na anataka umlipie kodi na hapo hapo simu yake Oppo imevunjika kioo inatakiwa 100k. Hivyo vyote nimepewa mimi kisa tu ni kwamba nilionesha yale mazingira ya kumuhitaji kwa kipindi cha nyuma.
Nilivyoona naanza kuegemewa nikafuta huo mpango, ila sasa pamoja na kufuta huo mpango bado ananing'ang'ania, ananipiga vibomu kila saa utadhani mimi mume wake.
Hivi mtu huyu nimfanyeje?
We sema tuAaah!! Wewe tena!!
Naomba hela🤣🤣🤣We sema tu
Njoo uchukue geto kwangu, mie sipo wala usiwe na hofu funguo iko chini ya uwa.Naomba hela🤣🤣🤣
Ndio uchoyo wenyewe huo sasa🙆🙆🙆 Tuma tu na ya kutolea.Njoo uchukue geto kwangu, mie sipo wala usiwe na hofu funguo iko chini ya uwa.
😂😂Nahisi virungu vyake ni vyamoto ndio maana watu wanamuepuka just imagine mi kumzoea siku moja tu usiku wake akanipiga kirungu cha 100k na hapo hapo akaniambia kodi yake imeisha ile sijamjibu tu akadakia vp unaweza kunilipia sasa kwa mazingira hayo unahisi nani atakaa juzi katI kafanya birthday ya gharama kumbe kuna mwamba mmoja alidhamini pambano nilimuona siku ya tukio kaja na kigari chake siku hiz simuoni itakuwa alishalamba asali akasepa maana dem analia njaa kinoma na anafanya kazi na huyo dem kutoa mbususu ni mpaka akukamue kuanzia 100k bila hivyo uonji sasa namimi kutoa hiyo 100k ndio ngumu huwa ananiambia ntaishia kula kwa macho hivo hivo nikasema amna shida. Ila 100k sitoi
Njoo inbox nikutumie namba zao ninao wengi sana wanataka wanaume. Jiandae Kwa mizinga tu.Mkuu nipe namba zake matatzo kusaidizana[emoji41][emoji41] mtu mwenyew anaomba mpaka elfu 2 huyu hawez omba Lak 2
Bwana bure hayupo ~ In Magus VoiceNdio uchoyo wenyewe huo sasa🙆🙆🙆 Tuma tu na ya kutolea.
Mbona yupo!Bwana bure hayupo ~ In Magus Voice
Mpelekee matatizo yako akutatulieMbona yupo!
Sawa.Mpelekee matatizo yako akutatulie